Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
 
March 10, 2020
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu
Kisutu
Dar es Salaam, Tanzania

Live: Baada ya hukumu kutolewa kesi ya uchochezi iliyokuwa inawakabili viongozi kadhaa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, chama cha CHADEMA
 
Hivi viwango kwa ujumla wao wa kila mmoja?
 
Wafungue akaunti tuzichange [emoji3577]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana mishahara hao million 10+ per month , bado maeupurupu, wana miradi mikubwa na midogo,wana ruzuku ya chama kila mwezi,

Ruzuku ya chama kwa miez miwili inalipa hilo deni na chenji inabaki,

Kawalipie wanafunzi na wenye uhitaji magerezani, kuna wafungwa wanawake wanakosa pedi ,sabuni
 
Jiwe muoga kweli yaani umebadilisha hukumu dakika za mwishoni kuwaogopa mabeberu wafunge uonee mabeberu watakavyokushukia Kama Gaddafi.
 
Dunia hadaa ulimwengu shujaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu Mauaji ya Akwilina, Hakimu amesema haliwezi kuzungumziwa Mahakamani hapo kwasababu ni Kesi ya mauaji na si hoja ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…