Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Kabisa ila ondoa ya mashinji huyo hatumchangiWiki ndefu sana, ndan ya masaa 24 huo mpunga unapatikana na zaidi, vise mashilingi atabebwa kivukoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Mauaji ya Akwilina, Hakimu amesema haliwezi kuzungumziwa Mahakamani hapo kwasababu ni Kesi ya mauaji na si hoja ya msingi.
Siyo lazima hapo hapo, japo wasipolipa inabidi waende and the more unakaa huko ndivyo na zenyewe zinapungua, so kwa mfano akilipa jumanne ijayo kama ilikuwa 10m haiwezi kubakia hiyo watahesabu siku alizokaa huko then wanadeduct!Hivi zinalipwa hapo hapa Cash?
Au wanaruhusiwa waende kuzitafuta?
Bora Wang alias a bikinis kesi ya kuhujumu uchumi kama ilikua tatizo lao ni pesa
Chadema fanyeni organization tupate namba au account ya benki tuwachangie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wananchi pia ni stupid citizens kwa sababu serekali inafanya ujinga ila hatuiwajibishi!
Hii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuuHakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Umeongea point mkuu mpaka najihisi kudaiwa, hao wakina mama walioko jela sijawahi kuwawazia yaaniWana mishahara hao million 10+ per month , bado maeupurupu, wana miradi mikubwa na midogo,wana ruzuku ya chama kila mwezi ,
Ruzuku ya chama kwa miez miwili inalipa hilo deni na chenji inabaki ,
Kawalipie wanafunzi na wenye uhitaji magerezani, kuna wafungwa wanawake wanakosa pedi ,sabuni
Except the king maker...President'No one is above the law'
Au vyote pamoja.Mkuu mbona una wasiwasi sana?!
Kutiwa hatiani siyo kufungwa jela unaweza kulipishwa faini!
Mashinji yy hatolipa hapo kwani yule ni mtu wa LumumbaMashinji naye yumo au lah