Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Wanachama wa CHADEMA tunaelekea ofisi zetu Kuu za chama jijini Dar es Salaam, Tanzania kwenda kuandaa taratibu za kuwatoa viongozi wetu baada ya hukumu.

 
Hivi zinalipwa hapo hapa Cash?
Au wanaruhusiwa waende kuzitafuta?
Siyo lazima hapo hapo, japo wasipolipa inabidi waende and the more unakaa huko ndivyo na zenyewe zinapungua, so kwa mfano akilipa jumanne ijayo kama ilikuwa 10m haiwezi kubakia hiyo watahesabu siku alizokaa huko then wanadeduct!
 
Sisi wananchi pia ni stupid citizens kwa sababu serekali inafanya ujinga ila hatuiwajibishi!

Ni kweli mkuu,ila ukishasikia serikali iliyopo madarakani ndio dola utapiga wapi kelele kama sio hapa JF pekee ndio tunajimwambafy? 🤣 🤣 😉 😉 , very sad nchi yangu Tanzania bila katiba huru ..tutaendelea kunyanyaswa kwenye nchi yetu wenyewe...
 
Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Hii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
 
Wana mishahara hao million 10+ per month , bado maeupurupu, wana miradi mikubwa na midogo,wana ruzuku ya chama kila mwezi ,

Ruzuku ya chama kwa miez miwili inalipa hilo deni na chenji inabaki ,


Kawalipie wanafunzi na wenye uhitaji magerezani, kuna wafungwa wanawake wanakosa pedi ,sabuni
Umeongea point mkuu mpaka najihisi kudaiwa, hao wakina mama walioko jela sijawahi kuwawazia yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom