Huyo analipiwa na fungu lile llisilokaguliwa na CAGHii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
Hayo ya kwako ndugu [emoji120]ni kama vile una kitu cha kuwafanya endapo watakosea hukumu, nimeelewa hivyo.
Tokea dunia iumbwe hakuna serekali ambayo imeweza kushinda nguvu na maamuzi ya wananchi! Ni ishu ya kuamua tu!Ni kweli mkuu,ila ukishasikia serikali iliyopo madarakani ndio dola utapiga wapi kelele kama sio hapa JF pekee ndio tunajimwambafy? [emoji1787] [emoji1787] [emoji6] [emoji6] , very sad nchi yangu Tanzania bila katiba huru ..tutaendelea kunyanyaswa kwenye nchi yetu wenyewe...
Atalipiwa na CCM waliemnunuaHii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
Hatolipa huyo ni MTU wa Lumumba mtoto wa boss huyo hanakosaHii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
Hii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
Kabla haujatoka, zinatungwa sheria mpya fasta fasta under emergence order, kwamba mtu hataruhusiwa kugombea urais na/au ubunge ikiwa aliwahi kufungwa jela hadi amalize angalau miaka mitatu uraiani.Hata mimi ningechagua kwenda jela.
Ila labda watu wanaangalia wakiwa jela watapoteza vingapi. Wanaweza kuamua kubaki uraiani.
Tanzania hiyo ya vyote kwa pamoja hawaitumiagi.Au vyote pamoja.
ohoo haya.
kwaiyo dada yetu akwilina alijiua yani ndugu yetu kafa muaji ajulikani sawa tu damu yake itawatafun mmoja mmojaKuhusu Mauaji ya Akwilina, Hakimu amesema haliwezi kuzungumziwa Mahakamani hapo kwasababu ni Kesi ya mauaji na si hoja ya msingi.
Sio kazi yake! Tumeamua wenyewe kwa mapenzi yetu kuchangua!Kuna ruzuku inaingia kila mwez million 200+
Tokea dunia iumbwe hakuna serekali ambayo imeweza kushinda nguvu na maamuzi ya wananchi! Ni ishu ya kuamua tu!View attachment 1383207
Thubutuuu,unamjua jiwe?Hayo ni mapato ya serikali tayari!Ila siyo kesi,pesa itatoka kwenye ruzuku kulipia hizo faini!So serikali imerudisha pesa yake ya mwezi february iliyotoa kwa CDM kama ruzuku!Huu mpunga unaenda kwa wahanga?
Ni kajackpot kabisa.