Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Hahahaaaaa....... Usiitafsiri sheria kama madaraja ya ulanzi yaani mtogwa, mkangafu na mdindifu.

Ukilipa faini historia ya kesi inaishia hapo unarudi bungeni kuendelea kula bata!

Napenda Mndindifu lakini hukumu ikitolewa swali la aina ya utekelezaji halitatengua hukumu Kwa njia yoyote. Nimesomea sheria Gerezani lakini nikawa mbobevu
 
Kabla haujatoka, zinatungwa sheria mpya fasta fasta under emergence order, kwamba mtu hataruhusiwa kugombea urais na/au ubunge ikiwa aliwahi kufungwa jela hadi amalize angalau miaka mitatu uraiani. Hapo ndo utaelewa vizuri Bashiru anavyosema Chama tawala kina faida ya kutumia dola kubaki madarakani alimaanisha nini hasa. Hiki chama "twawala" they will use any vulnerability kuumalizia mbali upinzani. So, inabidi ufikirie kweli kweli kabla ya kuchukua uamuzi wa aina hiyo. Upinzani unafanya kazi kwenye mazingira magumu mno. Paula Paul
Umewaza deep sana Dr. Kweli hii inawezekana.
 
Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Jumla ya faini sh. 350 ml ni makusanyo makubwa kwa serikali kuliko kuwafunga miezi mitano. Lakini kwa CHADEMA na amani ya nchi ni ushindi.
 
Wanafilisiwa ili wakose jinsi ya kuendesha kampeni za uchaguzi. Makosa gani hayo yanayogharimu kiasi chote hiki? Na pesa zinakwenda kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi imeishaingiliwa Ndugu yang, hicho kiasi atakuwa Hakimu kaletewa tu orodha na kiasi kila mmoja akaambiwa kuwa yeye Kazi yake nikuandika Maelezo ya Hakumu tu na kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kwenye hizo pesa tutakazowachangia faini viongozi wa Chama ondoa "Chenchi" ya D Mashinji, huyu hatutamchangia"

Alisikika mlevi mmoja karibu na bar iliyopo mkabala na mamlaka ya mapato kisutu, nchini danganyika.
 
HAKIMU SIMBA: "Mahakama imeepusha adhabu ya vifungo kwa Washitakiwa"

Aseme tu 'wameogopa' nguvu ya umma na kuamua kutuliza hali ya kisiasa nchini ambayo imetikisika kufuatia sakata hili linalozua maswali mengi juu ya nia ya serikali kuweka mazingira huru na ya haki katika kufanya siasa za vyama vingi chini ya mwamvuli wa demokrasia na chaguzi huru nchini Tanzania.
 
Kabla haujatoka, zinatungwa sheria mpya fasta fasta under emergence order, kwamba mtu hataruhusiwa kugombea urais na/au ubunge ikiwa aliwahi kufungwa jela hadi amalize angalau miaka mitatu uraiani. Hapo ndo utaelewa vizuri Bashiru anavyosema Chama tawala kina faida ya kutumia dola kubaki madarakani alimaanisha nini hasa. Hiki chama "twawala" they will use any vulnerability kuumalizia mbali upinzani. So, inabidi ufikirie kweli kweli kabla ya kuchukua uamuzi wa aina hiyo. Upinzani unafanya kazi kwenye mazingira magumu mno. Paula Paul
Hata hivyo nimiezi mitano kwakila kosa yaani kama umekutwa namakosa 12 inamaana utakaa jela miezi 60 sawasawa na miaka 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo technically wanaachiwa Kwa kuwa halikuwa shtaka la msingi...anyway Mimi ni layman kwenye Sheria
Hata mimi maamuma wa sheria maana tuliambiwa hukumu leo mbona tena wanaishia wametiwa hatiani kwa makosa 12/13 hivyo wapewe adhabu kali, siku ya kusoma adhabu ni nyingine
 
Wakati mwengine Serikali inajidhihilisha hadharani kwamba ndiye mvunjifu wa haki na katiba hapa inchini

Kifupi serikali inajidhalilisha mchana kweupee
Sasa tunawadhalilisha zaidi kwankuwalipia ndani ya 24hours watu 10m wakitoa kila mmoja 350
 
That means, hawawezitena kugombea Urais, ubunge au udiwani kisa wamekutwa na makosa ya jinai.

Kuna vacant position already ndani ya Chadema ya wagombea wapya kwani hawa hata wakikata rufaa hawawezi pata miezi 7 hii ilobaki.
 
Kwa taarifa yako, sio wife wangu wala wako, wote wanaliwa hata ukiwa huku uraiani. Mimi binafsi nimetembea na wake za watu zaidi ya 15, na nusu ya hao waume zao wanajimudu kimaisha. Yaani suala la kuliwa kwa mwanamke ni given, regadless uko jela, uraiani au umekufa.
Tuendelee na siasa, haya mengine tutapandishana pressure bure.
 
Back
Top Bottom