Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Kama siyo wewe kuna mwingine ,ndio nitachangia si pesa zanguKwa ajili yetu wewe na Nani sema Kwa ajil yako ...accnt ipo wazi ya chama kachangie
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama siyo wewe kuna mwingine ,ndio nitachangia si pesa zanguKwa ajili yetu wewe na Nani sema Kwa ajil yako ...accnt ipo wazi ya chama kachangie
Aha Sawa mkuu yawezekana ikawa nihivyoSio kwamba hizo adhabu zinaenda concurrent mkuu? Huwa naona hukumu zingine za aina hiyo, unakuta zinakua zinaenda concurrent, hivyo baada ya miezi mitano, anakua ameserve hiyo miezi mi5 kwa kila kosa.... Labda wataalam wa sheria watusaidie zaidi
Wewe mama binti Lowassa acha masihara. Adhabu ni adhabu tu.Mbona adhabu laini sana jamani
Mwenye picha ya Aquilina pliz! Leo ndo siku ambayo mabaki ya mifupa yake itajigeuza mahali ilipolala! Maana kuna watu watakaoenda jela bila hatia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila mimi naona wananitetea wewe inakuuma niniHakuna mwanasiasa anayekupigania
Acha fikra potofu
Hao wapo kwa matumbo yao na familia zao
Elewa sheria bwana acha kuropoka. Huwezi kugombea kama hatia uliyopatikana nayo haina "Option" ya fain ila kifungo peke yake.That means, hawawezitena kugombea Urais, ubunge au udiwani kisa wamekutwa na makosa ya jinai.
Kuna vacant position already ndani ya Chadema ya wagombea wapya kwani hawa hata wakikata rufaa hawawezi pata miezi 7 hii ilobaki.
Hawana makosa ni uhuni tu wa CCM kuwakomoa ChademaHapa ni tuangalie kama wana makosa kweli au la. Tusitumie kivuli cha upinzani kuonyesha wanaonewa. Tuangalie makosa yao kama yanafaa hukumu husika else watakuwa wameonewa.
Kesi ifufuliwe wauaji wajulikane.Kuhusu Mauaji ya Akwilina, Hakimu amesema haliwezi kuzungumziwa Mahakamani hapo kwasababu ni Kesi ya mauaji na si hoja ya msingi.
Hivi zinalipwa hapo hapa Cash?
Au wanaruhusiwa waende kuzitafuta?
Walio muua Akwilina ni viongozi wa CHADEMA au polisi? Waliokuwa na bunduki kati ya polisi na viongozi wa CHADEMA ni akina nani?
[/QUOT
Yule askari wa Jw aliyevalishwa sare za FFU na Makonda ili amuue Mbowe akazama kupiga hovyo akamuua Aquilina3 subirini wafungwe tuone mambo mazuri
Safi hizo pesa ziingie serikalini tulipwe mshahara mapema, kwa hapo unalipwa walimu zaidi ya 300 mshahara. Wao waendelee kupigania demokilasia
Acha matusi ndio maana mnapigwa fainiMjinga mkubwa wewe , Bora uwe na misukule itakulimia kuliko kuwa na takataka Kama hii eti ni raia nchi inategemea ili iendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa zipi za Sera unazotaka ww wakati mikutano ya wapinzani imezuiwa imeruhusiwa ya pole pole na bashiru tuIla Chadema mmezidi mihemuko na kuropoka ndicho kinawagharim. Fanyeni siasa z sera.