Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Aaron Arsenal,
Toa pale moyo wako unapokutuma kutoa ndugu. Na kuhusu hili la chadema ni, solve tatizo kuanzia pale kwenye mzizi wa tatizo na sio juu kwenye matawi.

Watu wengi wenye uhitaji wametokana na dhuluma ya CCM, hivyo inatupasa tuwatie moyo hawa walioamua kupambana na huyu mdulumaji ili wahitaji wapungue na kila mtu afaidi haka kakeki kadogo ka nchi yetu
 
Aaron Arsenal,
Wewe ni mpumbavu nimefatilia michango yako yote yakishenzi

Tunapoenda kwenye matatizo ni community sio individuals na kila siku unaichangia serikali kwenye kila kitu hata maskini kabisa wanachagia

1. Mashangingi ya rais na mawaziri

2. Madege ambayo wao maskini hawapati chochote

3. Wanalipishwa tozo za kipumbavu

4. Mbaya zaidi hata korosho zao wamezulmiwa

Je ulishawahi kuhoji au kufikiria ukatili huo?

Ukiona vipi si kawashauri washenzi wenzako ccm.
 
Hata hivyo nimiezi mitano kwakila kosa yaani kama umekutwa namakosa 12 inamaana utakaa jela miezi 60 sawasawa na miaka 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba hizo adhabu zinaenda concurrent mkuu? Huwa naona hukumu zingine za aina hiyo, unakuta zinakua zinaenda concurrent, hivyo baada ya miezi mitano, anakua ameserve hiyo miezi mi5 kwa kila kosa.... Labda wataalam wa sheria watusaidie zaidi
 
Unajua mangapi wana risk kw ajili yetu??leo hii mbowe anashida gani angeamua kuunga juhudi anguwa hata waziri mkuu,lissu asingekosa kuwa judge,halima angekuwa waziri saivi ila wanapigana kwa ajili ya sisi wanyonge bila hata support yetu ila bado wanatutea sisi mazuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanasiasa anayekupigania


Acha fikra potofu


Hao wapo kwa matumbo yao na familia zao
 
Unajua mangapi wana risk kw ajili yetu??leo hii mbowe anashida gani angeamua kuunga juhudi anguwa hata waziri mkuu,lissu asingekosa kuwa judge,halima angekuwa waziri saivi ila wanapigana kwa ajili ya sisi wanyonge bila hata support yetu ila bado wanatutea sisi mazuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ajili yetu wewe na Nani sema Kwa ajil yako ...accnt ipo wazi ya chama kachangie
 
Safi hizo pesa ziingie serikalini tulipwe mshahara mapema, kwa hapo unalipwa walimu zaidi ya 300 mshahara. Wao waendelee kupigania demokilasia
 
Hivi ni viongozi waCHADEMA tu, vipi kuhusu mwanachama mmoja wa CCM yeye hajahukumiwa
 
Mahakama ni chombo huru. Achana na hao
Hakuna mahakama huru Afrika! Yanayofanyika tunayaona na vile mahakama zinavyopangiwa wafanye nini na serekali pia tunajua! Kwa mfano kuna nchi fulani ya Afrika mashariki a.k.a nchi ya asali na maziwa, mahakama katika nchi hiyo zimeagizwa na serekali ziweke kipaumbele adhabu za fine ili zipatikane hela za kujenga SGR na kununua ndege![emoji12][emoji12][emoji12]
 
Umeshawahi kwenda Mahakamani, Ni watu wangapi wanapata haki Mahakamani kila siku, hiyo conclussion kuwa Mahakama imeifikia kwa kutumia vigezo vipi, ili iwe huru ni pale wale unaowapenda wanaposhinda tu au!?

Mahakama inafanya mambo yake hadharani, Hukumu itatoka, either watakutwa na hatia au bila hatia, then ukishaona hiyo hukumu ndo unaweza kujudge.

Acheni kuwapa Wanasiasa Umungu mtu, wakikosea nao waadhibiwe Kama wananchi wengine wanavyoadhibiwa!
Hata Makaburu walitenda na kujificha chini ya sheria zao za Ukandamijazaji. Waliziona pia kuwa mahakama zao ni huru Ingawa zilikuwa huru kuliko za awamu ya 5). Akina Mandela pia walihukumiwa na mahakama hizo huru za Makaburu ...!!
 
Hata hivyo nimiezi mitano kwakila kosa yaani kama umekutwa namakosa 12 inamaana utakaa jela miezi 60 sawasawa na miaka 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hivo, adhabu ya kifungo jela huenda sambamba kwa makosa yote. Ikiwa ulihukumiwa miaka 2 kosa la kwanza, 3 kosa la pili na miaka 5 kosa la tatu, utatumikia miaka 5 kwani ile miaka 2 na 3 ipo ndani ya hiyo miaka 5.

Hapo wangetumikia miezi 5 pekee ikiwa wataamua kwenda jela.
 
Back
Top Bottom