Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ulitaka watu wanyongwe ama?Mbona adhabu laini sana jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka watu wanyongwe ama?Mbona adhabu laini sana jamani
Unasema!!!!Elewa sheria bwana acha kuropoka. Huwezi kugombea kama hatia uliyopatikana nayo haina "Option" ya fain ila kifungo peke yake.
Sasa muelewe hivyo kusudi msirudi tena humu kueneza uzushi usio na maana, hizo pelekeni vijiweni huko.
Duh Asante mkuu kwadarasa lako elimu haina mwisho. Ila ningekuwa nimimi ningeenda jela2Sio hivo, adhabu ya kifungo jela huenda sambamba kwa makosa yote. Ikiwa ulihukumiwa miaka 2 kosa la kwanza, 3 kosa la pili na miaka 5 kosa la tatu, utatumikia miaka 5 kwani ile miaka 2 na 3 ipo ndani ya hiyo miaka 5.
Hapo wangetumikia miezi 5 pekee ikiwa wataamua kwenda jela.
Ndio mume wako anavyo kuongopea hiviUsilinganishe Mandela na mpiga deals!
Wanajikomowa wao wenyewe maana washaanza kulishana sumuhawana makosa ni uhuni tu wa ccm kuwakomoa chadema
Na umoja wa wanawake pia hawajasaidiaKwa hiyo vitambaa vyeupe havikusaidia?
Toa pale moyo wako unapokutuma kutoa ndugu.
Na kuhusu hili la chadema ni, solve tatizo kuanzia pale kwenye mzizi wa tatizo na sio juu kwenye matawi.
Watu wengi wenye uhitaji wametokana na dhuluma ya ccm, hivyo inatupasa tuwatie moyo hawa walioamua kupambana na huyu mdulumaji ili wahitaji wapungue na kila mtu afaidi haka kakeki kadogo ka nchi yetu
Sio kwamba hizo adhabu zinaenda concurrent mkuu? Huwa naona hukumu zingine za aina hiyo, unakuta zinakua zinaenda concurrent, hivyo baada ya miezi mitano, anakua ameserve hiyo miezi mi5 kwa kila kosa.... Labda wataalam wa sheria watusaidie zaidi
Nani amekwambia tuko kwenu sasa...Rudini kwenu bana msituvurugie nchi yetu.
HahahahahahahahahUsinijib hovyo wewe "mwanaharam" uliezaliwa mitaroni.
Hujui hata unajibizana Nini mbwa wewe , Namuamini Mungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
We hawataipenda hii japo lazma wakubali pia kumbuka kila mbunge hukatwa laki tano , weehKama sikosei Chadema inawabunge 70 bungeni ukiwatoa Tundu Lisu na Nassari wanabaki wabunge 68 kila mmoja akichanga milioni 5 zinapatikana milioni 340! Deni litakua limeisha japokua ni hela nyingi 😎
Hapa ni tuangalie kama wana makosa kweli au la... Tusitumie kivuli cha upinzani kuonyesha wanaonewa... Tuangalie makosa yao kama yanafaa hukumu husika else watakuwa wameonewa.