Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
Hiyo hukumu imeamrishwa na huyo kichaa mpenda sifa na madaraka wenu ila malipo atayapata hapa kabla hajaenda kujiunga na mababu zakeKama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
Tafsiri potofu.kulipa faini ndo kifungo tu ingawa inakupa option ya kuchagua wewe mfungwa. Kwa mfano ukihukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini laki 5 hapo kifungo ni miaka 2 ambayo inakufanya upoteze sifa ya kuchaguliwa uongozi. Kumbuka hawa ni wanasiasa!
Pole sana kama unaishi kwa mshahara una kila sababu ya kufurahia.Pumbafu
Kwani mkuu wameshalipa?,sikuwepo online,,Yote yana mwisho
Watalipa mkuu!Kwani mkuu wameshalipa?,sikuwepo online,,
Mi nashauri walipe tu,mungu atawalipa,kuliko kwenda jela,watakuta akina kubenea washajibinafsishia chams
Walipe tu
Wakisikia tunachanga roho Inawauma wakati hela sio zao shida nini