Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Ngosha anatafuta hela ya uchaguzi kimabavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutachanga kama wakitoa account lakini jambo kubwa moja kwangu ni kuwa nazidi kuichukia serikali kadri siku zinavyosonga mbele,kwasasa hata nikimkuta mwanaCCM anakufa hapo,mimi nitapita na kuendelea na shughuli zangu!Nimeufunga rasmi moyo wa huruma!Kama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
Kwa hakika nina mengi zaidi ya kuandika, but I have family to feedBARIKIWA mno kwa neno hili
Jr[emoji769]
Nawashanga saivi. Hata maji ya kunywa simpi mwana CCM hata akiwa ndugu yanguWakisikia tunachanga roho Inawauma wakati hela sio zao shida nini
Swali, CHADEMA watamlipia Mashinji fine? Au kila mtu anakufa na lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndio matumizi ya dola,aliyomaanisha Bashiru, Wenye akili zao wanatumia dola,kuiba nje na kuleta ndani,tekinolojia za viwanda,tafiti za mazao,sayansi,kilimo,IT,ili nchi ineemeke,hapa kwetu Bashiru &co,wanatumia dola,kubaki madarakani ili waibe kidogo cha wananchi walichonacho.Bashiru alituambia wanatumia dola kupambana na vyama vya upinzani ili chama chao kiendelee kubaki ikulu na dola ni bunge,serikali na mahakama kwa mujibu wa bashiru upinzani unapambana na bunge,serikali na mahakama lakini niwakikishie vita hii tutashinda.Ngoja tulipe faini mil.335
Mm kwa upande wangu nipo tayari hata kuchangia halafu turudishe mpira kati tuanze moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukorofi! Je na mkurugenzi aliyekatalia viapo ndiyo mkarimu?!Acheni ukorofi mtaangamia
Nani kakambia Mr Kiki ni msomiJifunze kutengeneza title inayoendana na content.... Unatia aibu we msomi.
Acha kuropoka kama unajisaidiaUsinijib hovyo wewe "mwanaharam" uliezaliwa mitaroni.
Hujui hata unajibizana Nini mbwa wewe , Namuamini Mungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali, CHADEMA watamlipia Mashinji fine? Au kila mtu anakufa na lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikifa kama wengine watasherehekea sawa tu!Ndipo tulipofika kama nchi,mateso ya binadamu wengine kwa wengine ni furaha!Ndugu yangu kwa hiyo wewe hutakufa??!!!