Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Elewa sheria bwana acha kuropoka. Huwezi kugombea kama hatia uliyopatikana nayo haina "Option" ya fain ila kifungo peke yake.

Sasa muelewe hivyo kusudi msirudi tena humu kueneza uzushi usio na maana, hizo pelekeni vijiweni huko.
Unasema!!!!
Sasa mimi na wewe nani anaropoka. Nimeeleza ninachofahamu, wewe unakuja na povu la mbege n mdomoni kukejeli, eleza kwa ufasaha unachojua na mahali nimekosea.

Tatizo la wabongo ukishajiona unajua jambo basi unajiona mjuaji kushinda hata Pompeo. Ndio maana utasikia upumbavu huu mtu anajitambulisha "Mimi naitwa Profesa Miti Mingi, au naitwa dokta Fala Ujinga.". Huu ndio upumbavu wa wasomi wetu
 
Sio hivo, adhabu ya kifungo jela huenda sambamba kwa makosa yote. Ikiwa ulihukumiwa miaka 2 kosa la kwanza, 3 kosa la pili na miaka 5 kosa la tatu, utatumikia miaka 5 kwani ile miaka 2 na 3 ipo ndani ya hiyo miaka 5.

Hapo wangetumikia miezi 5 pekee ikiwa wataamua kwenda jela.
Duh Asante mkuu kwadarasa lako elimu haina mwisho. Ila ningekuwa nimimi ningeenda jela2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiongoza kwa staili hii mwisho wake unajulikana ovyo kuwahi, utakutana na mambo ya majuto, kulia na kuhudhunika kwa uchungu
 
Mishahara itaangia mapema Asante. Mi Ni chadema Ila nimeajiriwa na serikali ya ccm, na sijawahi kuwapa Kira hata moja. Nachotaka mshahara nipate mapema, na chadema nitawachagua, izo pesa za faini walipwe tulipwe salary
 
kichwa cha habari kinaashiria hukumu tayari,lakini ktk uchangiaji inaonesha bado,nami nashauri kwa kufuata utaratibu watowe akaunti namba moja ya benk,au ya simu waiweke mitandaoni iwe bayana ktk vyombo vya habari tuchangiye.na mwisho wa siku watowe mapato na matumizi
 
Toa pale moyo wako unapokutuma kutoa ndugu.
Na kuhusu hili la chadema ni, solve tatizo kuanzia pale kwenye mzizi wa tatizo na sio juu kwenye matawi.
Watu wengi wenye uhitaji wametokana na dhuluma ya ccm, hivyo inatupasa tuwatie moyo hawa walioamua kupambana na huyu mdulumaji ili wahitaji wapungue na kila mtu afaidi haka kakeki kadogo ka nchi yetu

Mkuu utaratibu wa kutoa michango ukoje huko?? Tafadhali tujulishane maana nimeshatenga kabisa hilo fungu la mchango
 
Kwa makosa yanayotokana na one course of action, kwa kawaida adhabu za kifungo huonda concurrently
Sio kwamba hizo adhabu zinaenda concurrent mkuu? Huwa naona hukumu zingine za aina hiyo, unakuta zinakua zinaenda concurrent, hivyo baada ya miezi mitano, anakua ameserve hiyo miezi mi5 kwa kila kosa.... Labda wataalam wa sheria watusaidie zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sikosei Chadema inawabunge 70 bungeni ukiwatoa Tundu Lisu na Nassari wanabaki wabunge 68 kila mmoja akichanga milioni 5 zinapatikana milioni 340! Deni litakua limeisha japokua ni hela nyingi 😎
We hawataipenda hii japo lazma wakubali pia kumbuka kila mbunge hukatwa laki tano , weeh
 
Viongozi wa CHADEMA wajifunze kwasababu wamezidi kuwa wapole wakidhani watawala wa ccm ni malaika watakabidhi madaraka wakichekeana!

Naichukia sana ccm na wanaccm kwasababu utawala wao si wa haki kabisa hasa awamu hii. Utadhani anayetutawala si mtanzania. Sasa kama raia naichukia ccm, hawa viongozi kwanini wanaifurahia?!?!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni tuangalie kama wana makosa kweli au la... Tusitumie kivuli cha upinzani kuonyesha wanaonewa... Tuangalie makosa yao kama yanafaa hukumu husika else watakuwa wameonewa.

Ni hivi, wameonewa. Na hiyo hukumu ni maagizo ya yule aliyewaagiza wasimamizi wa uchaguzi kunajisi uchaguzi. Lengo la hiyo kesi ni kuwatia watu woga ili wakae kimya pindi rais anapoagiza uchaguzi unajisiwe fullstop.
 
Bashiru alituambia wanatumia dola kupambana na vyama vya upinzani ili chama chao kiendelee kubaki ikulu na dola ni bunge, serikali na mahakama kwa mujibu wa Bashiru upinzani unapambana na bunge, serikali na mahakama lakini niwahakikishie vita hii tutashinda. Ngoja tulipe faini mil.335

Mimi kwa upande wangu nipo tayari hata kuchangia halafu turudishe mpira kati tuanze moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MVB Jr, post:
Haaaaa 😂 haaaaa mkuu una kumbu kumbu mbaya kabisa,
Mbona hukunipa hata pole
 
Back
Top Bottom