Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
Huyo analipiwa na fungu lile llisilokaguliwa na CAG
 
Ni kweli mkuu,ila ukishasikia serikali iliyopo madarakani ndio dola utapiga wapi kelele kama sio hapa JF pekee ndio tunajimwambafy? [emoji1787] [emoji1787] [emoji6] [emoji6] , very sad nchi yangu Tanzania bila katiba huru ..tutaendelea kunyanyaswa kwenye nchi yetu wenyewe...
Tokea dunia iumbwe hakuna serekali ambayo imeweza kushinda nguvu na maamuzi ya wananchi! Ni ishu ya kuamua tu!
masoudkipanya_B9ihqewDrXu.jpeg
 
Hii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
Atalipiwa na CCM waliemnunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu
Hatolipa huyo ni MTU wa Lumumba mtoto wa boss huyo hanakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm watamlipia hiyo
Hii hukumu ni kubwa sana kwa Mashinji maana hawa viongozi wenzake kwa kuwa tukio lilitokea wakiwa kwenye kazi za chama natumaini watalipa toka akaunti ya chama chao; huyo aliyejitoa chamani itabidi yeye na familia yake watafute hiyo pesa au aende jela, Ni mtazamo wangu tuu

No one knows tomorrow.
 
Inaonekana ni hukumu yenye msukumo wa kisiasa.
Mauaji yamefanywa kwa maagizo ya kisiasa ya viongozi wa ccm matokeo na hukumu kwa upinzani.
Kikombe hiki ipo siku kitawarudia na inalenga kuwatisha watu wasidai haki zao wasiporidhika hasa kuchezewa matokeo kwa upumbavu wao unaolenga kuiba kura.
Nadhani badala ya kuwavunja moyo na kuwaogopesha limewafanya kutambua zaidi haki zao.
Naamini hatia hii ni ya maagizo ya viongozi wa ccm na polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi ningechagua kwenda jela.
Ila labda watu wanaangalia wakiwa jela watapoteza vingapi. Wanaweza kuamua kubaki uraiani.
Kabla haujatoka, zinatungwa sheria mpya fasta fasta under emergence order, kwamba mtu hataruhusiwa kugombea urais na/au ubunge ikiwa aliwahi kufungwa jela hadi amalize angalau miaka mitatu uraiani.

Hapo ndo utaelewa vizuri Bashiru anavyosema Chama tawala kina faida ya kutumia dola kubaki madarakani alimaanisha nini hasa. Hiki chama "twawala" they will use any vulnerability kuumalizia mbali upinzani.

So, inabidi ufikirie kweli kweli kabla ya kuchukua uamuzi wa aina hiyo. Upinzani unafanya kazi kwenye mazingira magumu mno. Paula Paul
 
Huu mpunga unaenda kwa wahanga?

Ni kajackpot kabisa.
Thubutuuu,unamjua jiwe?Hayo ni mapato ya serikali tayari!Ila siyo kesi,pesa itatoka kwenye ruzuku kulipia hizo faini!So serikali imerudisha pesa yake ya mwezi february iliyotoa kwa CDM kama ruzuku!
 
Sala ya Mshikamano kwa viongozi wetu, sasa tujitokeze ofisi Kuu za chama cha CHADEMA tuweze kuandaa mipango viongozi wetu wawe huru.

Back
Top Bottom