Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Umeongea point mkuu mpaka najihisi kudaiwa, hao wakina mama walioko jela sijawahi kuwawazia yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtu ambaye kiinua mgongo chake tu ni million 200+

Bado anakopesheka hadi million 100+

Ana mshahara wa million 10+ per month

Wana posho kwenye kamati za bunge

Wana miradi mikubwa na midogo

Chama kina ruzuku million 200+ kila mwezi

Unawachangia watu hawa , wahitaji wameisha??
 
Wanafilisiwa ili wakose jinsi ya kuendesha kampeni za uchaguzi. Makosa gani hayo yanayogharimu kiasi chote hiki? Na pesa zinakwenda kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pumbavu mkubwa unayerukia watu kwa mbele
huoni nimemjibu nani niliyemQuote
ukijibu post angalia imetokea wapi? wote kwenye picha wametajwa na muuliza swali
chunga kichwa yako km unalipwa hapa sema

Imeshapenya na Imeisha hiyo!
 
Kuna kikao kirefu cha Bajeti posho zake zinatosha kulipia hizo adhabu na kwa Maimu huyo atakuwa kwenye kazi maalumu ya kuandaa Ilani ya Uchaguzi
 
Reactions: Lee
ni wazi kuwa tunaangalia jambo hili kimzahamzaha kama darby ya SIMBA/YANGA MAN U/MAN CITY au GOR MAHIA/AFC LEOPARDS lakini kiuhalisia Tanzania siyo kisiwa chaamani ustaarabu wala kupigania uhuru na usawa kama ilvyokuwa miaka ya 60 70 na 80
 
Hii hukumu haina athari kwenye kugombea nafasi zao za ubunge october
 
Aliyekuwa katibu mkuu aliyekihama chama naye kwenye kesi hii si alikuwepo au ndo asiye kuwepo na lake halipo?
 
Aliyesabisha mauaji ni polisi na mkurugenzi hilo hata Mungu anajua hata wakiletwa wachunguzi wa kimataifa jibu litakuwa hilo.Sema tu hakuna hakimu aliye huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…