Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Wakuu hamjambo?

Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni kubwa ya kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa Mbowe Na viongozi wenzake,binafsi nikifikilia kuhusu vurugu zilizo himizwa na viongozi wa chadema hadi kupelekea kifo cha binti akwilina naumia sana.

Kwa hukumu iliyotolewa Leo ikilinganishwa na uhai wa binti yetu akwilini naona kama haviendani,hukumu ya maisha kwa Mbowe Na viongozi wenzake ndiyo ilikuwa suruhu katika kuweka mambo sawa, hii ni kutokana na athari mbaya zilizojitokeza kutokana na uana harakati uchwara wa akina Mbowe Na wenzake.

Swali langu ni kuwa, je kama raia naruhusiwa kukata rufaa kutokana na kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa viongozi hawa, kwani naona milioni 350 au jela miezi mitano ni hukumu ambayo haikuzingatia uzito wa kosa, na haijawatendea haki wazazi na ndugu wa binti Akwilina.

Wataalamu wa sheria nijuzeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza. Public interest litigation sijui kama inaweza kuangukia humo.
Hii kesi wakienda court f appeal watashinda maana, sijasoma hukumu lakini si rahisi katika mikutano ya siasa ku prove sedition. Context of language/utterances used in political rallies is very important before convicting somebody.
 
Mtoa mada ndio kapata kitoto kichanga, hivyo ameandika haya kwa kujifariji kupata new baby
 
Uzi huu ni aina mojawapo ya mawazo ya wanachama wa chama cha mapinduzi.
Ni ugoro mtupu. Hivi, ni nani asiyejua kwamba Akwilina aliuliwa na mapolisi wapumbavu kwa amri kutoka ikulu??

Risasi ile ilimpata Akwilina kwa bahati mbaya, lakini mlengwa alikuwa ni Mbowe.

Sasa baada yavkumkosa Mbowe, ikulu wakaamua vyovyote iwavyo kina Mbowe wafunguliwe kesi ya mauaji ya Akwilina.

Inashangaza leo sijui ni amri kutoka kule kule ama vipi, mtu anakuja kuandika utumbo huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo mwisho wa kulipa hiyo faini ni lini
Na wakichelewa kifungo kinaanza kwa kipindi gani
Kama saivi wamepekekwa gerezani

Au ni siku yoyote tyu wakikamilisha muamala ndo wanaachiwa?
Cjaelewa hapo

mwanabhonga
 
Umetuma kikamilifu kwenda kwa RODERICK LUTEMBEKA. Kiasi TSh 3000. Salio jipya ni TSh 12. Muamala: 11293079822. Risiti: 7CA43GX5K1Y. 10/03/20 20:42.
 
Lengo la huu udhalim ni kutisha watu ili kila mtu aufyate jambo ambalo kamwe halitofanikiwa.
 
Tutachanga kama wakitoa account lakini jambo kubwa moja kwangu ni kuwa nazidi kuichukia serikali kadri siku zinavyosonga mbele,kwasasa hata nikimkuta mwanaCCM anakufa hapo,mimi nitapita na kuendelea na shughuli zangu!Nimeufunga rasmi moyo wa huruma!
Nilifikiri utakinukisha. Kama kuchukia tu, poa!
 
Wewe ukiona mh. Wakiri msomi peter kibatara hajaongea! Na kawaombea kulipa faini! Ujue amejiridhisha na makosa ya midomo yao.

Hii hukumu itakuwa fundisho kwa wenyetabia ya peopless powerrrrr!
Mdomo unaponza.
 
Upinzani wapo wengi lakini CCM wana idadi zaidi tofauti yenu ni moja tu. Upinzani mna kelele wenzenu wapo kimya kwasababu wana dola. Msifanye kosa la kudhani CCM wapo wachache. Tengenezeni sera za kuwavutia wanachama wa CCM wahamie kwenu badala ya kutambia namba ambazo hazitoshi.
Ccm si mandondocha?lazima wawe wengi
 
Wakuu hamjambo?

Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni kubwa ya kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa Mbowe Na viongozi wenzake,binafsi nikifikilia kuhusu vurugu zilizo himizwa na viongozi wa chadema hadi kupelekea kifo cha binti akwilina naumia sana.

Kwa hukumu iliyotolewa Leo ikilinganishwa na uhai wa binti yetu akwilini naona kama haviendani,hukumu ya maisha kwa Mbowe Na viongozi wenzake ndiyo ilikuwa suruhu katika kuweka mambo sawa, hii ni kutokana na athari mbaya zilizojitokeza kutokana na uana harakati uchwara wa akina Mbowe Na wenzake.

Swali langu ni kuwa,je Kama raia naruhusiwa kukata rufaa kutokana na kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa viongozi hawa,kwani naona milioni 350 au jela miezi mitano ni hukumu ambayo haikuzingatia uzito wa kosa,na haijawatendea haki wazazi na ndugu wa binti akwilina.

Wataalamu wa sheria nijuzeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Limwalimu limasikini linajitutumua nyuma ya keyboard likiandika ujinga. Hapo halijapandaga daraja toka liondoke sengerema miaka hiyo. Pumb.avu sana wewe. Waulize wanasheria namna wakavyokusaidia ili utumishi wakupandishe mshahara siyo kuwaza ujinga muda wote.
 
Back
Top Bottom