Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Poa ndio,hata mbuyu ulianza kama mchicha! Watu waliofikia level kama yangu ni suala la muda tu, ts like a time ticking bomb!Nilifikiri utakinukisha. Kama kuchukia tu, poa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa ndio,hata mbuyu ulianza kama mchicha! Watu waliofikia level kama yangu ni suala la muda tu, ts like a time ticking bomb!Nilifikiri utakinukisha. Kama kuchukia tu, poa!
Mpaka kufika kesho saa mbili asubuhi tunatakiwa kuwa tumechanga milioni 350. Anza kutoa chochote ulicho nacho.. tuma kwa namba hizo hapo chini.Hili lingewezekana kufanyika lingekuwa jambo la msingi zaidi.
Huu ungekuwa ujumbe maalum kwa watawala waliolewa madaraka.
Kwa bahati mbaya hapa ndipo CHADEMA wanaonekana kuwa na 'disconnection' fulani na wananchi.
Hawajawa na njia bora za kushirikisha wananchi.
Aliyewabambikizia kesi Mungu amfanye kama atakavyopenda mwenyewe hata kama kuliondoa duniani ni sawa tu!Japo watalipa fidia ila hii kesi haikuwastahili kabisa. Walionewa tu
Hukumu hadi miezi sita na kuendeleaUkisha hukumiwa kwa kosa la jinai na jela ukaenda hata Ukilipa faini haiondoi jinai
Unakosa uwalali wa kuchagua na kuchaguliwa labda kwa amri ya mahakama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu upo hapo kwenye kuonyesha mapato na matumizi. Kutoa ni moyo mkuu, tenda wema usingoje shukurankichwa cha habari kinaashiria hukumu tayari,lakini ktk uchangiaji inaonesha bado,nami nashauri kwa kufuata utaratibu watowe akaunti namba moja ya benk,au ya simu waiweke mitandaoni iwe bayana ktk vyombo vya habari tuchangiye.na mwisho wa siku watowe mapato na matumizi
Ukisha hukumiwa kwa kosa la jinai na jela ukaenda hata Ukilipa faini haiondoi jinai
Unakosa uwalali wa kuchagua na kuchaguliwa labda kwa amri ya mahakama
Sent using Jamii Forums mobile app
We haupendi tufurahie vifo vya watesi wetu sioNdugu yangu kwa hiyo wewe hutakufa??!!!
Nami naelewa hivyo
Umendika nn sasa wewe msakatongeIkiwa leo ndio ile siku ilio kua imepangwa ya kuvaa vitambaa kichwan na kuhimiza wanachama wao waakikishe wanafika kwa wing ajabu ni kwamba hata Ile idad ya watu walio fika mliman haikufikiwa hata robo kusema kwel chadema bado Sana kwa watu mlio fika maakaman hamstail kabisa kujiita Wana mageuz mda bado Sana kile kikionekana nje kwa wahisan Kama mnavyo waita wataona hambebeki
Sent using Jamii Forums mobile app
We zinakuuma umewahi kuchangia au unadhani tunaochangia hizi hela katupa mama yako ndio roho ikuume mtoto wa kike?Viongozi wakihukumiwa, wanachama na wafuasi wanachanga. Je, wafuasi na wanachama wakihukumiwa viongozi wanachanga? Chezeeni biashara ya siasa. Zile za Lissu zilifikia kiasi gani?
Yes, he can, ila akishindwa kesi, gharama za kesi zitakuwa juu yake, vyema ajue yote.Kifungu cha 359 (1) cha The Criminal Procedure Act.
"...any person aggrieved by any sentence... may appeal to the High Court..."
Nadhani unaelewa maana ya 'any person'.
So, yes, wewe mleta mada waweza kabisa kukata rufaa dhidi ya hiyo kesi husika, by virtue of the Tanzania criminal procedure Act.
Any person may appeal. Any person indeed!
-Kaveli-
Muda muda! Ahahahahahahh!Poa ndio,hata mbuyu ulianza kama mchicha!Watu waliofikia level kama yangu ni suala la muda tu,its like a time ticking bomb!
Ikiwa leo ndio ile siku ilio kua imepangwa ya kuvaa vitambaa kichwan na kuhimiza wanachama wao waakikishe wanafika kwa wing ajabu ni kwamba hata Ile idad ya watu walio fika mliman haikufikiwa hata robo kusema kwel chadema bado Sana kwa watu mlio fika maakaman hamstail kabisa kujiita Wana mageuz mda bado Sana kile kikionekana nje kwa wahisan Kama mnavyo waita wataona hambebeki
Sent using Jamii Forums mobile app