Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Hili lingewezekana kufanyika lingekuwa jambo la msingi zaidi.

Huu ungekuwa ujumbe maalum kwa watawala waliolewa madaraka.

Kwa bahati mbaya hapa ndipo CHADEMA wanaonekana kuwa na 'disconnection' fulani na wananchi.
Hawajawa na njia bora za kushirikisha wananchi.
Mpaka kufika kesho saa mbili asubuhi tunatakiwa kuwa tumechanga milioni 350. Anza kutoa chochote ulicho nacho.. tuma kwa namba hizo hapo chini.

Bank Crdb : Chadema M4C account namba 01J1080100600

Simu: Rodrick Lutembeka
0754 275 531,
0655 275 531
 
Ukisha hukumiwa kwa kosa la jinai na jela ukaenda hata Ukilipa faini haiondoi jinai
Unakosa uwalali wa kuchagua na kuchaguliwa labda kwa amri ya mahakama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifungu cha 359 (1) cha The Criminal Procedure Act.

"...any person aggrieved by any sentence... may appeal to the High Court..."

Nadhani unaelewa maana ya 'any person'.

So, yes, wewe mleta mada waweza kabisa kukata rufaa dhidi ya hiyo kesi husika, by virtue of the Tanzania criminal procedure Act.

Any person may appeal. Any person indeed!

-Kaveli-
 
kichwa cha habari kinaashiria hukumu tayari,lakini ktk uchangiaji inaonesha bado,nami nashauri kwa kufuata utaratibu watowe akaunti namba moja ya benk,au ya simu waiweke mitandaoni iwe bayana ktk vyombo vya habari tuchangiye.na mwisho wa siku watowe mapato na matumizi
Ugumu upo hapo kwenye kuonyesha mapato na matumizi. Kutoa ni moyo mkuu, tenda wema usingoje shukuran
 
Ikiwa leo ndio ile siku ilio kua imepangwa ya kuvaa vitambaa kichwan na kuhimiza wanachama wao waakikishe wanafika kwa wing ajabu ni kwamba hata Ile idad ya watu walio fika mliman haikufikiwa hata robo kusema kwel chadema bado Sana kwa watu mlio fika maakaman hamstail kabisa kujiita Wana mageuz mda bado Sana kile kikionekana nje kwa wahisan Kama mnavyo waita wataona hambebeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Article 67 (2) ( c) of the Constitution of United Republic of Tanzania 1977 stipulates that, such person shall be convicted and sentenced to a term exceeding 6 months imprisonment.

Kwa hapo naona hao jamaa wamenusurika, wao ilikuwa 5 months.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DB8D0E4F-C4F8-49CE-B90D-9086245152A0.jpeg
 
Ikiwa leo ndio ile siku ilio kua imepangwa ya kuvaa vitambaa kichwan na kuhimiza wanachama wao waakikishe wanafika kwa wing ajabu ni kwamba hata Ile idad ya watu walio fika mliman haikufikiwa hata robo kusema kwel chadema bado Sana kwa watu mlio fika maakaman hamstail kabisa kujiita Wana mageuz mda bado Sana kile kikionekana nje kwa wahisan Kama mnavyo waita wataona hambebeki

Sent using Jamii Forums mobile app
Umendika nn sasa wewe msakatonge
 
Viongozi wakihukumiwa, wanachama na wafuasi wanachanga. Je, wafuasi na wanachama wakihukumiwa viongozi wanachanga? Chezeeni biashara ya siasa. Zile za Lissu zilifikia kiasi gani?
We zinakuuma umewahi kuchangia au unadhani tunaochangia hizi hela katupa mama yako ndio roho ikuume mtoto wa kike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifungu cha 359 (1) cha The Criminal Procedure Act.

"...any person aggrieved by any sentence... may appeal to the High Court..."

Nadhani unaelewa maana ya 'any person'.

So, yes, wewe mleta mada waweza kabisa kukata rufaa dhidi ya hiyo kesi husika, by virtue of the Tanzania criminal procedure Act.

Any person may appeal. Any person indeed!

-Kaveli-
Yes, he can, ila akishindwa kesi, gharama za kesi zitakuwa juu yake, vyema ajue yote.

Au nae lumumba watamchangia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa leo ndio ile siku ilio kua imepangwa ya kuvaa vitambaa kichwan na kuhimiza wanachama wao waakikishe wanafika kwa wing ajabu ni kwamba hata Ile idad ya watu walio fika mliman haikufikiwa hata robo kusema kwel chadema bado Sana kwa watu mlio fika maakaman hamstail kabisa kujiita Wana mageuz mda bado Sana kile kikionekana nje kwa wahisan Kama mnavyo waita wataona hambebeki

Sent using Jamii Forums mobile app

Unafaa kutiwa mimba naona akili zako umeziwekea protector
 
Back
Top Bottom