Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Sogea na wewe mpenda haki viunga vya mahakama mkuu...
Ahahahahahahah! Mamaangu ni mmoja wa mawakili waliowaahughulikia hao wahalifu! Ahahahahahh!
Tume huru itakuja pale wapinzani mtakapopata namba ya kusukuma mabadiliko yenu.Kama unaamini sisiemu wako wengi, waruhusu uchaguzi iwe huru na wa haki tu, watapata majibu.. Wakubali iundwe tume huru ya uchaguzi, ambayo haitaongozwa na mteule wa mgombea wa sisiemu..
Au waache kutumia polisi tu, waone vile wasivyopendwa..
Wakuu hamjambo?
Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni kubwa ya kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa Mbowe Na viongozi wenzake,binafsi nikifikilia kuhusu vurugu zilizo himizwa na viongozi wa chadema hadi kupelekea kifo cha binti akwilina naumia sana.
Kwa hukumu iliyotolewa Leo ikilinganishwa na uhai wa binti yetu akwilini naona kama haviendani,hukumu ya maisha kwa Mbowe Na viongozi wenzake ndiyo ilikuwa suruhu katika kuweka mambo sawa, hii ni kutokana na athari mbaya zilizojitokeza kutokana na uana harakati uchwara wa akina Mbowe Na wenzake.
Swali langu ni kuwa,je Kama raia naruhusiwa kukata rufaa kutokana na kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa viongozi hawa,kwani naona milioni 350 au jela miezi mitano ni hukumu ambayo haikuzingatia uzito wa kosa,na haijawatendea haki wazazi na ndugu wa binti akwilina.
Wataalamu wa sheria nijuzeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usidhani upinzani hamna mandondocha. Mpo wengi tu kama ambavyo walivyo CCM.Ccm si mandondocha?lazima wawe wengi
Hakimu ameanzia kwenye kurejea ushahidi na utetezi
Jifunze kwanza Kiswahili we Mhutu la sivyo rudi kwenu na Meko.
Sawa mwanasheria mbobezi.Hata mimi naamini adhabu aliyopewa ni ndogo. Hapo binti mdogo alifariki. Hawa walistahili LIFE SENTENCES!!
Hii hukumu sio ambayo alikuwa ameandaa. Baada ya wapambe kuona hukumu yake waliikataa ndio maana aka ahirisha kuisoma asubuhi kwa maagizo ili ijaandaliwe hukumu upya.Baada ya huyu Pilato kukamilisha kazi aliyopewa,kinachofuata ni yeye kuzawadia promotion na bwana yule anaeteseka kutimiza azima yake ovu aliyojiapiza kuitekeleza tangu alipoingia ofisini.
Tusubiri yatimie.
Kwahiyo unataka Mambosasa na askari wake wakamatwe?Fungu lipo mkuu,kikubwa haki kwa akwilina ipatikane,hasara roho mkuu,pesa makaratasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mafanikio yana formula ya siri,MVB Jr,
Hiyo training ya kumbukumbu ndo inakuwaje hiyo?