Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Nilitabiri hukumu yenye masharti, naona yamekuwa, sasa lipeni faini tu, maana kwakweli naona aliyetoa hukumu kaangalia mambo mengi mno.
 
Kama unaamini sisiemu wako wengi, waruhusu uchaguzi iwe huru na wa haki tu, watapata majibu.. Wakubali iundwe tume huru ya uchaguzi, ambayo haitaongozwa na mteule wa mgombea wa sisiemu..

Au waache kutumia polisi tu, waone vile wasivyopendwa..
Tume huru itakuja pale wapinzani mtakapopata namba ya kusukuma mabadiliko yenu.
 
Wakuu hamjambo?

Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni kubwa ya kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa Mbowe Na viongozi wenzake,binafsi nikifikilia kuhusu vurugu zilizo himizwa na viongozi wa chadema hadi kupelekea kifo cha binti akwilina naumia sana.

Kwa hukumu iliyotolewa Leo ikilinganishwa na uhai wa binti yetu akwilini naona kama haviendani,hukumu ya maisha kwa Mbowe Na viongozi wenzake ndiyo ilikuwa suruhu katika kuweka mambo sawa, hii ni kutokana na athari mbaya zilizojitokeza kutokana na uana harakati uchwara wa akina Mbowe Na wenzake.

Swali langu ni kuwa,je Kama raia naruhusiwa kukata rufaa kutokana na kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa viongozi hawa,kwani naona milioni 350 au jela miezi mitano ni hukumu ambayo haikuzingatia uzito wa kosa,na haijawatendea haki wazazi na ndugu wa binti akwilina.

Wataalamu wa sheria nijuzeni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo hiyo Hukumu ikiwa Kali zaidi kama unavyotaka Wewe ( japo unajificha ) hapa ndiyo huyo Binti Marehemu atafufuka na kuendelea na Maisha yake?
 
Hakimu ameanzia kwenye kurejea ushahidi na utetezi

Huyu Hakimu Simba ni zuzu na mwendawazimu anaye hukumu kesi kwa maelekezo toka Juu ya Jiwe....!
Judgement imecheleweshwa maksudi ili kuhakikisha Viongozi wa CHADEMA leo wanalala Segerea....!

Ilikuwa asome hukumu kuanzia saa 4 asbh lakini ghafla akaisogeza mpaka saa 7 mchana. Hukumu imesomwa kwa masaa 4 hivo huyu Simba alifanya calculation akajua akisoma kuanzia saa 4 asbh atamaliza saa 8

Mchna benki zitakuwa wazi na hivo CHADEMA wangeliweza kuhamasisha na kupata hiyo pesa 350 million kabla benki hazijafungwa hivo kulipa Deni na kuwa huru...!
Mazingira ya kesi mpaka hukumu ni UONEVU na UDIKTETA mwanzo mwisho....!
God is watching from a distance.....and
Judgement shall strike CCM unexpectly...!
 
Baada ya huyu Pilato kukamilisha kazi aliyopewa,kinachofuata ni yeye kuzawadia promotion na bwana yule anaeteseka kutimiza azima yake ovu aliyojiapiza kuitekeleza tangu alipoingia ofisini.

Tusubiri yatimie.
Hii hukumu sio ambayo alikuwa ameandaa. Baada ya wapambe kuona hukumu yake waliikataa ndio maana aka ahirisha kuisoma asubuhi kwa maagizo ili ijaandaliwe hukumu upya.
Ukitaka kujua ukweli wa hili jambo muangakieni akuvyo kuwa ana tetemeka wakati ana soma hukumu. Tumuombe Mungu haya yata pita. Kuna maisha baada ya haya. Kesjo wsta toka. Hata wasipo toka mezi mitano sio mingi. Tupambanie demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MVB Jr,
Hiyo training ya kumbukumbu ndo inakuwaje hiyo?
Kila mafanikio yana formula ya siri,

So I am impressed na uwezo wako wa kukumbuka sikuchangia katika mamia ya michango pamoja na kuwa ktk sononeko la kuibiwa.

Ndio kuomba unishirikishe hiyo formula ya siri ya mafanikio ktk kumbukumbu.

Just sharing (Training).
 
Back
Top Bottom