Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Kilichofanywa kwa uwepo wa Maalim Seif, Mbatia na wito wa Zitto kuichangia Chadema ni kitu kizuri, kuonyesha political solidarity, it's only through together ndio we can!.
P
Naunga mkono hoja,ila what do you have to say about him being a traitor anaedhohofisha upinzani kea kujua.?
 
Hii ni thread ya wachangiaji umbea peleka Lumumba mnakowekeana sumu.
Mbona unaleta ubaguzi kwenye kuchangia MAKAMANDA?

Nimeuliza MUKYA naona unatoa povu, ila binafsi mchango wangu nitamtumia MUKYA
 
Kumbe kuteseka vote vile mpaka jasho la matako linawatoka kumbe munamuogopa mbowe asigombee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…