sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,322
Nenda tweeter kwa kigogo, kuna kila kitu. Pia humu ipo, just search. nikipata nakuwekea link.Tunaomba link ya hii michango jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda tweeter kwa kigogo, kuna kila kitu. Pia humu ipo, just search. nikipata nakuwekea link.Tunaomba link ya hii michango jamani
nani kakuambia uchange? wapuuuzi hatuwataki kuchangia. Ukiwa na kichwa kikubwa bila akili ni adhabu kwa miguu, ungekuwa na akili japo za kuku wa kienyeji tungekushauri lkn huna!Sina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani amekuomba mchango wako?Sina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba link ya hii michango jamani
Kuwa makini na maneni yako. Jaribu kuitawala akili yako. Jufunze busara.Sina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja,ila what do you have to say about him being a traitor anaedhohofisha upinzani kea kujua.?Kilichofanywa kwa uwepo wa Maalim Seif, Mbatia na wito wa Zitto kuichangia Chadema ni kitu kizuri, kuonyesha political solidarity, it's only through together ndio we can!.
P
We James Delicious unaongea utumbo gani?Sina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa mitandaoni mnajua kujidanganya sana. Kweli wajinga wali wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa ajachangia au?Kuwa makini na maneni yako. Jaribu kuitawala akili yako. Jufunze busara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni thread ya wachangiaji umbea peleka Lumumba mnakowekeana sumu.Mmh!
Mukya tena?
Haingii akilini kumchangia mtu anaepokea Zaid y milion 10 kila mwezi na mtu mwenye mshahara wa kubangaiza tuNi ushahidi tosha kuwa nguvu ya CDM ni kubwa. Kusanyiko la Kisutu na michango inayoendelea ni salamu tosha kuwa panapo uchaguzi huru na wa Haki, hampenyi popote!
Mbona unaleta ubaguzi kwenye kuchangia MAKAMANDA?Hii ni thread ya wachangiaji umbea peleka Lumumba mnakowekeana sumu.
Wapokea michango pamoja na MUKYA, inabidi ujitafakari kabla ya kutuma mkuu.Haingii akilini kumchangia mtu anaepokea Zaid y milion 10 kila mwezi na mtu mwenye mshahara wa kubangaiza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
zimetimia 120,000,000Haingii akilini kumchangia mtu anaepokea Zaid y milion 10 kila mwezi na mtu mwenye mshahara wa kubangaiza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani ikawa huoni ukweli wa Jambo hili.I’m proud to be mjinga una lingine?
Ukweli kuwa Mbowe alimuua Akwilina?Haiwezekani ikawa huoni ukweli wa Jambo hili.
Usijidhalilishe. Au ndivyo ulivyo dhalili basi endelea maana "to argue with a fool like you is stupidity."
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuteseka vote vile mpaka jasho la matako linawatoka kumbe munamuogopa mbowe asigombeeweka tafsiri sahihi, km hv wamehukumiwa jela miezi 5 au faini. Mimi siyo mwanasheria lkn nnachojua hata wakilipa faini ni sawa tu wametumikia hiyo miezi 5. Kumbuka hiyo ni faini siyo fidia. Na kwa mfano mbowe awe anajaza form na kwenye form kuna swali kama uliwahi kufungwa na kama jibu ni ndiyo kwa muda gani? Atajaza nini?