Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kolaba oli Mwanza ngambila nkunyegeze Diamond onywe, olye, obwagale!Oti tituli kukumanya? Wacha hayo mambo ya hovyo ujue tabao muhaya agila bufela nka iwe. Nolwa olagonza eibara lyawe
No one knows tomorrow.
Kolaba oli Mwanza ngambila nkunyegeze Diamond onywe, olye, obwagale!
Unamchangia mtu aliyepiga bilioni 13 kwa miaka 4! Kuna kikundi hakijisikii vibaya Mbowe anapoiba kwa sababu ni mwenzao ktk chama, ni mwenzao ktk kabila. Tatizo ni hao wanaojidai kuchangia bila kujua anayekusanya ni nani na anapanga kuzifanyia nini? wako ktk mkumbo tu!
Mi najitambua bhana! Kama umeamua kuwa mtumwa sina cha kukusaidia.Hutaki kajinyonge
No one knows tomorrow.
Talio Muhaya aikuhaisiliza abaikukora amafu.
Kwa hiyo mkuu, mahakama zetu ziko huru si ndio?Pesa italipwa kisha rufaa itakatwa. High court hainaga ujinga huo labda kwa jaji aliyepatikana kipindi hiki cha praise team
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nani kasema exclusiveCcm inclusive
No one knows tomorrow.
Maumivu yakizidi,pata ushauri wa daktari!Ila ujumbe umemfikia Jiwe,watanzania hatununuliki!Unamchangia mtu aliyepiga bilioni 13 kwa miaka 4! Kuna kikundi hakijisikii vibaya Mbowe anapoiba kwa sababu ni mwenzao ktk chama, ni mwenzao ktk kabila. Tatizo ni hao wanaojidai kuchangia bila kujua anayekusanya ni nani na anapanga kuzifanyia nini? wako ktk mkumbo tu!
Kwan nani kasema exclusive
Maumivu yakizidi,pata ushauri wa daktari!Ila ujumbe umemfikia Jiwe,watanzania hatununuliki!
Genda obaze Kisutu!
Nabaza iwe alafu iwe nobaza nye tena kabla ya amajibu?Genda obaze Kisutu!
Safi sana! Inanikumbusha mambo ya Yanga na Simba. Mwingine anajiita timu ya wananchi inayoishi kwa michango ya wanachama, mwingine ana wafadhili!Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole amesema wanaelekea Mahakamani Kisutu kwa ajili ya kuangalia utaratibu wa kumlipia faini mwanachama wake Dk.Vicent Mashinji baada ya chama hicho kukusanya kiasi cha pesa kinachotakiwa kulipwa.View attachment 1383939
No one knows tomorrow.
Find out and update!
CCM wana hela ya kununua madiwani wakati watumishi wa chama hicho wanalipwa mishahara ya beki tatu yaani laki nanusu hadi laki mbili na nusu.Upinzani wapo wengi lakini CCM wana idadi zaidi tofauti yenu ni moja tu. Upinzani mna kelele wenzenu wapo kimya kwasababu wana dola. Msifanye kosa la kudhani CCM wapo wachache. Tengenezeni sera za kuwavutia wanachama wa CCM wahamie kwenu badala ya kutambia namba ambazo hazitoshi.
Safi sana! Inanikumbusha mambo ya Yanga na Simba. Mwingine anajiita timu ya wananchi inayoishi kwa michango ya wanachama, mwingine ana wafadhili!