Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Unamchangia mtu aliyepiga bilioni 13 kwa miaka 4! Kuna kikundi hakijisikii vibaya Mbowe anapoiba kwa sababu ni mwenzao ktk chama, ni mwenzao ktk kabila. Tatizo ni hao wanaojidai kuchangia bila kujua anayekusanya ni nani na anapanga kuzifanyia nini? wako ktk mkumbo tu!
 
Hutaki kajinyonge

No one knows tomorrow.
 
Maumivu yakizidi,pata ushauri wa daktari!Ila ujumbe umemfikia Jiwe,watanzania hatununuliki!
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole amesema wanaelekea Mahakamani Kisutu kwa ajili ya kuangalia utaratibu wa kumlipia faini mwanachama wake Dk.Vicent Mashinji baada ya chama hicho kukusanya kiasi cha pesa kinachotakiwa kulipwa.
Hivi Mashinji pia kalala Segerea?

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_1583911205343.jpeg

No one knows tomorrow.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole amesema wanaelekea Mahakamani Kisutu kwa ajili ya kuangalia utaratibu wa kumlipia faini mwanachama wake Dk.Vicent Mashinji baada ya chama hicho kukusanya kiasi cha pesa kinachotakiwa kulipwa.View attachment 1383939

No one knows tomorrow.
Safi sana! Inanikumbusha mambo ya Yanga na Simba. Mwingine anajiita timu ya wananchi inayoishi kwa michango ya wanachama, mwingine ana wafadhili!
 
Upinzani wapo wengi lakini CCM wana idadi zaidi tofauti yenu ni moja tu. Upinzani mna kelele wenzenu wapo kimya kwasababu wana dola. Msifanye kosa la kudhani CCM wapo wachache. Tengenezeni sera za kuwavutia wanachama wa CCM wahamie kwenu badala ya kutambia namba ambazo hazitoshi.
CCM wana hela ya kununua madiwani wakati watumishi wa chama hicho wanalipwa mishahara ya beki tatu yaani laki nanusu hadi laki mbili na nusu.

CCM hawana sera yeyote ya kumtekemeza mnyonge. Wapi ajira kwa vijana? wapi pension za wazee? wapi madawa hospitalini? wapi pesa yetu ya korosho? wapi walimu mashuleni? wapi barabara huku mikoani?

CCM wamekalia ndege, stiglas, flyover, goima, nk.hamna mwelekeomwala maarifa katika kufanya kazi.Mmekalia uongo, mabavu, utekaji, upotezai watu, viroba baharini,
 
Yes wasingefanya hivyo nadhani wange muudhi mwenye chama chake maana huyo ndiye kaka wa Mashinji
Safi sana! Inanikumbusha mambo ya Yanga na Simba. Mwingine anajiita timu ya wananchi inayoishi kwa michango ya wanachama, mwingine ana wafadhili!

No one knows tomorrow.
 
Kwa sasa Chadema imebakiwa na Naibu katibu mkuu ( bara) mh Kigaila pale ofisini na makamu mwenyekiti yuko nje ya nchi, hii maana yake Ufipa amebaki kiongozi mmoja tu anasema kada wa CCM mzee Mgaya.

Mzee Mgaya anasema ni afadhali kiasi fulani kimepatikana na anashauri kama fedha haitatosha basi Mbowe awe wa mwisho kwani faini yake ni sawa na ya Mdee na Mnyika kwa pamoja.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom