Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Inasikitisha sana ila mungu ni Hakimu wa muda wote
Wanaoenda kusomewa hukumu ni wahanga waukatili kama Akwilina (R.I.P).
Familia ya marehemu sijui wanajisikiaje kuona aliyemdhulumu uhai binti yao si miongoni mwa watakao hukumiwa! Walioagiza matumizi ya risasi ndio wasimamizi wa hukumu!!!

In God we Trust
 
Mungu asimamie haki itendeke!

Wakati huu wa Kwaresma tunajikumbusha mengi kuhusu Wanasheria na yule Yuda aliyesaliti PIA Petro aliyekana!
Lipi kati ya haya mawili likitendeka haki itakuwa imepatikana,
1. Watuhumiwa wakikutwa na kosa la jinai
2. Watuhumiwa wakikutwa hawana kosa.
 
Nakujua unapendaga sana kuchezea alafu,unajua kulamba koni sana,nime miss ufundi wako jinsi unavyojua kunyonya
jua kuwa mlienda kwenye ofisi ya uma siyo kwa mjomba wako hapo ufike tu hata hayupo uanze fujo washenzi nyie subirini sasa mkachezee dushe za wanaume jela na mtapigwa ile mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tarehe 10 Machi 2020 saa saba adhuhuri tunataraji kuona na kusikia hukumu ya viongozi wa CHADEMA ikisomwa Mahakama ya Kisutu. Kwa wanaofuatilia siasa wanaijua vizuri hii kesi.
Binafsi naona maluelue upande wa CHADEMA.
Toa utabiri wako
 
Kwako wewe kudai haki ndio ukimbelembele? Kama hilo latoka moyoni mwako, basi bado kuna mushkeli. Wakati wa kutafuta uhuru, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihukumiwa na kufungwa kwa kesi ya kubambikiwa ili kuwakomboa hata wale walokuwa wakilamba miguu ya wakoloni kama ufanyavyo. Watia aibu. Mungu na aepushe uzao wako na balaa hii. Wende nayo mwenyewe kaburini. Amen.
 
Kwa mujibu wa crip ya kufunga kampeni za uchaguzi mdogo kinondoni! Mbowe na heche watakula mvua za ukweli, myika mvua kidogo au kunusurika, mwalim yy naona alikuwa mjanja kwanye matamshi hyo aweza nusurika! Wengine cjawasikia cwezi comment.
 
Ila bulaya bwana akili yake yote alimpaga halima mdee. Yaani ukitaka kumkamata bulaya we mtege tu halima mdee. Bulaya ataingia mzima mzima. Kweli penzi ni upofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani anakutesa sana. Kwa akili hiyo afya yako ya AKILI yatia shaka sana. HATA Mwisho wako utakuja kuwa wa ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…