Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Atatukibali usenge wowote nje ya haki waliomuua akwilina ni policccm
 
Mungu asimamie haki itendeke!

Wakati huu wa Kwaresma tunajikumbusha mengi kuhusu Wanasheria na yule Yuda aliyesaliti PIA Petro aliyekana!
Wacha ku-politicise the issue.
Tungoje hukumu ambapo kama hawaridhiki nayo wanaweza kukata rufaa.
 
Kama nyie mnavyowafanyia wasiowaunga mkono
Mahakama ikiwakuta na hatia utasikia, Mahakama haijatenda haki, imepokea maelekezo, isipowakuta na hatia utasikia Kibatala ni noma, Mawakili wa Serikali ni vilaza( hapa Mahakama haionekani Kama imetenda haki na waka haisifiwi) yaani nyie siku mkishika Dora wasiokubaliana na nyie mtawanterahamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani hawape dola hawa? bado saaana wananuka maziwa mdomoni! Hawajui lolote kuhusu nchi inaendeshwaje? Hata hivyo viongozi wao wa juu wako kibiashara na kula ruzuku! Ukitoa dau kubwa unapewa nafasi ukagombee urais
 
Mwisho wa siku utasikia hukumu itatolewa tarehe nyingine.
 
Hukumu ya Pilato kwa hofu ya Kaizari!
chadema_in_blood_B9ix5PoHAbE.jpeg
 
bora mimi matako wewe ndiyo wale watoto waliopatikana baada ya mama zao kubakwa bar na walevi wasiotumia condom ukapatikana wewe ndo maana huna akili
Mm naakili tumamu najitambua najiamini ,,so maskini kama ww mnafiki unaesihi Kwa kujipendekeza ,angepigwa risasi mamako unaongea huu tumbo wako .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom