johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba.
Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
=====
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia kesi mbili zinazokabili Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kusikilizwa baada ya kumalizika kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu
Akiwasilisha ombi hilo, Wakili wa utetezi ameomba Mahakama kutopanga kesi za Lissu tarehe za karibu wakati huu wa Uchaguzi kwasababu yupo nje ya Jiji la Dar na hawezi kufika Mahakamani
Wakili Mwandamizi wa Serikali amesema kutokana na Lissu kuendelea na Kampeni akizunguka maeneo mbalimbali, kuna kila sababu ya kupanga tarehe baada ya Uchaguzi ili aweze kufika Mahakamani
Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Augustina Mmbando amekubali ombi hilo na ameahirisha kesi hizo hadi Novemba 6 ambapo zitasikilizwa mfululizo