Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Hapo sasa inabidi Mwanamke afunge ndoa na huyo Mwanaume aliyezaa naye hao Watoto wanne, na Mwanaume naye inabidi afunge ndoa na huyo Mwanamke aliyezaa naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka tunaongea muda huu bwana Kulaya hana mtoto hata mmoja watoto alionao niwa kusingiziwa .Jamaa alienda akazaa watoto watatu nje akawa nao jumla 4 ndan ya miaka 10
Mkewe naye akaenda kazaa watoto wann ndan ya miaka hiyo 10[emoji23][emoji23]..hapa mke wajamaa alikua kaamua kuzaaa maana alichekwa sana.
Mke akafungua kesi ya Talaka, ili aoane na waliyezaa naye...Jamaa akawa hataki anataka arudiane mke wake.
Mwenye picha ya mwanamke muiweke hapa Jamani
Hahahaha kumbe hata hao wanne ni wakusingiziwa duuuu hahahahaMpaka tunaongea muda huu bwana Kulaya hana mtoto hata mmoja watoto alionao niwa kusingiziwa .
AnaoAisee! Sasa baada ya miaka kumi mkataba ukiisha mwanamume unarudi huna mtoto ata mmoja mkeo anakuja na vitoto vya wanaume wenzio
Bora tuachane mazima tu aisee, mbaya kabisa hiyo
Hawakwenda kuzini mkuu, bali walikwenda kutest kitambo bahati mbaya mtambo wa Kulaya haufanyi kazi vizuri .Dah hatari kwa hiyo walikubaliana waende kuzini kwanza
Watubu tu hamna namna
Kiimani itavunjwa iwapo tu uzinzi umethibitishwaHivi ndoa ya kikristo ya mke/mme mmoja inafaa kuvunjwa na mahakama kisheria au kiimani inakua
Yes, kila mmoja amezini nje ya ndoa na uthibitisho ni hao watotoHapo tayari hata kiimani ni ruksa si wameshazini?
Nawaza tu hao mawifi waliokua wanamsumanga dada wa watu kwamba mgumba sijui wana hali gani sasaKwa hiyo mwanaume ndo ana matatizo?Watoto aliozaa kabla hajaoa inabidi apime DNA.Ikute alibambikizwa. Hongera sana Magreath kwa kumove on.Hiyo famille ya X mumeo sijui wanaona aibu kweli?
Mkuu mawifi wana rahana , mkeo anasimangwa na mawifi na yeye akienda kwao anawasimanga mawifi zake (yaani wake wa kaka zake) hawa mawifi wana rahana ya asili .Nawaza tu hao mawifi waliokua wanamsumanga dada wa watu kwamba mgumba sijui wana hali gani sasa
KulayaWameishi wote Hakuna mtoto,, wameachana Wamepata watoto. Wapiga ramli kuna mjumbe amepigwa hapo kwa kupewa watoto si wake
HahahaMkuu mawifi wana rahana , mkeo anasimangwa na mawifi na yeye akienda kwao anawasimanga mawifi zake (yaani wake wa kaka zake) hawa mawifi wana rahana ya asili .
Nimeangalia mkuu ila sasa tatizo mbona ni kwa mwanamume sasa maana alishindwa kukamilisha jambo mwenzake ameweza mbona??Anao
Ye kaongeza wawili.
Soma story ya mwanzo Kabisa.
#YNWA