kudot2020
Senior Member
- Jan 8, 2020
- 122
- 161
Gharama zikoje mkuu, yaan kuanzia vipimo mpk kupandikiza kwenyeweNi maamuzi mazuri kulingana na umri wao.
Japo kama bado wanapendana wangetafuta staili nyingine kuliko kupata kibali cha mahakama cha kutengana. Sikuhizi mbona Muhimbili wanapandikiza ujauzito?.