Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imevunja ndoa ya waliotengana kwa makubaliano ya kila mmoja aende kutafuta watoto

Ni maamuzi mazuri kulingana na umri wao.

Japo kama bado wanapendana wangetafuta staili nyingine kuliko kupata kibali cha mahakama cha kutengana. Sikuhizi mbona Muhimbili wanapandikiza ujauzito?.
Gharama zikoje mkuu, yaan kuanzia vipimo mpk kupandikiza kwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…