Mahakama ya Rufaa ya Tanzania itakwepaje lawama hizi katika Uchaguzi wa 2020?

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania itakwepaje lawama hizi katika Uchaguzi wa 2020?

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
7,101
Reaction score
18,085
Wana-JF,

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita.

Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana-CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali akaenda Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kukata rufaa. Mahakama ya Rufaa ikatengua hukumu ya Mahakama Kuu. Kwa kiasi kikubwa maamzi ya Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yamechangia dhuluma tuliyoshuhudia kwenye uchaguzi huu. Kazi ya Mahakama ni kutoa haki. Badala yake maamzi ya mahakama tena ya rufaa ya nchi yetu yameleta msiba mkubwa na dhuluma kwa Taifa letu.

Kweli Mahakama ya Rufaa inawezaje kutenganishwa na uharamia huu? Kama wasimamizi wasingekuwa wana-CCM, ingewezesha matokeo ya uchaguzi kuaminiwa.

Wanahistoria watakuwa na mengi sana ya kusoma na kuandika miaka mingi ijayo kuhusu kilichotokea Oktoba 2020 hapa Tanzania. Wanasheria wanalo la kujifunza pia. Maamzi ya watu 3 (majaji) yasiyozingatia haki yanaweza kusabisha amani kutoweka.

NB: Baada ya uchaguzi kwisha, JF wameniruhusu kuanza kupost tena. JF pia mnalo la kujifunza.
 
IMG-20201031-WA0001.jpg
IMG_20201031_023050.jpg
Screenshot_20201030-160532.png
IMG-20201030-WA0000.jpg
 
Inawaumaaaaa nini!

Kuandika humu.. mkajipa moyo.. tuliwachora tu wengine na mie.. mkafurahia utalii wa uchaguzi wa kutajwa kwa Magufuli na CCM mara nyingi.. kuliko mtu kujinadi.. wenye chama walikaa mbali.. naye.. mnafikiri na ya ushoga hatuyajui na mabeberu.. wabunge hao ndio balaa kabisa.. walikuwa kulalamoka tu.. waje sasa walime..huku vijijini.. ardhi imejaaaa.

Magufuli eti tumeyaona anayofanya.. tumuache.. tumchague ambaye ni mdomo porojo mbele eeeeeh

Magufuli katuletea mengi.. na covid kwa kweli angepata zote.. sema kuna wale walifanya bahati na sibu.. peni ifikie wapi.

Magufuli Baba lao
 
Inawaumaaaaa nini!!!!
Kuandika humu.. mkajipa moyo.. tuliwachora tu wengine na mie.. mkafurahia utalii wa uchaguzi wa kutajwa kwa Magufuli na CCM mara nyingi.. kuliko mtu kujinadi.. wenye chama walikaa mbali.. naye.. mnafikiri na ya ushoga hatuyajui na mabeberu.. wabunge hao ndio balaa kabisa.. walikuwa kulalamoka tu.. waje sasa walime..huku vijijini.. ardhi imejaaaa..

Magufuli eti tumeyaona anayofanya.. tumuache.. tumchague ambaye ni mdomo porojo mbele eeeeeh

Magufuli katuletea mengi.. na covid kwa kweli angepata zote.. sema kuna wale walifanya bahati na sibu.. peni ifikie wapi..

Magufuli Baba lao
👆🏾
 
Hivi ruzuku Chadema watapata? Zile pesa walichangishwa mwishowe wakapigwa calendar wabunge hoi.

Ila Halima alinifurahisha ubondia 😃😃😃😃 na kupamda visivyo pandika alijaribu.. hapo lazima alikuwa anafikiria mengi.. ila naye alifikirije atachaguliwa kwa lipi haswaaaa!!! huku hakuna alilofanyia la kuonekana jimbo la Kawe.

Muache kulalamika.. vitambulisho kuondoa wavivu mitaani vipo.. 20K. Chapeni kazi.. mule

💛💚💛💚💛 Magufuli...oyeeeeee!
 
Vitu viwili vinaz
vyoipeleka Tanzania katika shimo la moto na aibu kubwa ni Mahakama na TISS!

Wamekuwa kama enzi za Idd Amin!

Nimeelewa kwanini waganda waliyaunga mkono majeshi ya Tanzania walipoingia Uganda kumtoa nduli Idd Amin!
Hata hapa kwetu kwa hali ilivyo yakitokea majeshi kutoka nje kuleta chokochoko tutayaunga mkono kwa asilimia kubwa sana. Tumefikia stage ya bora tukose wote.
 
Wana-JF,

Mahakama ya Rufani imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita.

Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM.

Mwanasheria Mkuu wa serikali akaenda Mahakama ya Rufaa kukataa rufaa. Mahakama ya Rufaa ikatengua hukumu ya Mahakama Kuu. Kwa kiasi kikubwa maamzi ya mahakama ya Rufaa yamechangia dhuluma tuliyoshuhudia kwenye uchaguzi huu.

Kweli Mahakama ya Rufaa inawezaje kutenganishwa na uharamia huu?

Wanahistoria watakuwa na mengi sana ya kusoma na kuandika miaka mingi ijayo. Wanasheria wanalo la kujifunza pia.
Hatimaye nimefanikiwa kupata silaha mbili za moto, moja ndogo moja kubwa, sitazitaja majina.

Naomba wazalendo wapenda haki wanaoweza kunipa sapoti,wawili tu, wawe majasiri, wanifuate inbox tupange mipango(siyo ya ujambazi, ni kwa ajili ya Sabaya, maDED, Mahera na watu wa aina hiyo)
 
Hivi ruzuku Chadema watapata? Zile pesa walichangishwa mwishowe wakapigwa calendar wabunge hoi..

Ila Halima alinifurahisha ubondia 😃😃😃😃 na kupamda visivyo pandika alijaribu.. hapo lazima alikuwa anafikiria mengi.. ila naye alifikirije atachaguliwa kwa lipi haswaaaa!!! huku hakuna alilofanyia la kuonekana jimbo la Kawe.

Muache kulalamika.. vitambulisho kuondoa wavivu mitaani vipo.. 20K.. chapeni kazi.. mule

💛💚💛💚💛 Magufuli...oyeeeeee...
Uzuri tunaumia wote for the next 5 years hakuna cha wana CCM wala watumishi wa umma wala wafanyabiashara wala sekta binafsi. Hadi yeye Magu maana kikosi Kodi waliomuoigania watamushughulikia
 
Back
Top Bottom