Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,342
- 2,196
TULUIPOSEMA KUWA MPAKA 2020 TUTAKUWA TUMEFUTA UPINZANI HAMKUTUELEWA.
TULUIPOSEMA KUWA MPAKA 2020 TUTAKUWA TUMEFUTA UPINZANI HAMKUTUELEWA.
Tatizo ni watu.
Watu waovu, watatunga sheria mbovu, wataunda taasisi mbovu na watawatendea wengine uovu.
Tunatakiwa kujenga taifa la watu wanaoaminiana na kuheshimiana kama ndugu.
Kustaarabika ni pamoja na kuwa na watu na taasisi zinazoaminiwa na raia.
Me mwenyewe nakumbuka niliapa kumuheshimu,kumtii Rais na wateule wake nikiwa jkt,ila sasa namuona mduwanzi Yan had mtu unafikia htua ya kukaribia kumkufuru MunguNi swala la muda tu tutafika huko, hakuna mtu atakua mzalendo kwa uharamia huu unaofanywa na maCCM.
Acha wivu, hizo gharama za kuajiri maafisa wa tume, wanaofanya kazi Mara moja kila baada ya miaka mitano unalipa wewe? Afu hao wato utakaowaajiri wasiokuwa na upande utawapata wapi? Upinzani ulikufa baada ya kumtema Dr slaa, acheni kulialia wakurungwa!