Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,085
ππΎInawaumaaaaa nini!!!!
Kuandika humu.. mkajipa moyo.. tuliwachora tu wengine na mie.. mkafurahia utalii wa uchaguzi wa kutajwa kwa Magufuli na CCM mara nyingi.. kuliko mtu kujinadi.. wenye chama walikaa mbali.. naye.. mnafikiri na ya ushoga hatuyajui na mabeberu.. wabunge hao ndio balaa kabisa.. walikuwa kulalamoka tu.. waje sasa walime..huku vijijini.. ardhi imejaaaa..
Magufuli eti tumeyaona anayofanya.. tumuache.. tumchague ambaye ni mdomo porojo mbele eeeeeh
Magufuli katuletea mengi.. na covid kwa kweli angepata zote.. sema kuna wale walifanya bahati na sibu.. peni ifikie wapi..
Magufuli Baba lao
Hata hapa kwetu kwa hali ilivyo yakitokea majeshi kutoka nje kuleta chokochoko tutayaunga mkono kwa asilimia kubwa sana. Tumefikia stage ya bora tukose wote.Vitu viwili vinaz
vyoipeleka Tanzania katika shimo la moto na aibu kubwa ni Mahakama na TISS!
Wamekuwa kama enzi za Idd Amin!
Nimeelewa kwanini waganda waliyaunga mkono majeshi ya Tanzania walipoingia Uganda kumtoa nduli Idd Amin!
Hata wakija wale Alshab kutoka Msumbiji tutawapa chakula wakiwa wanachinja watendaji wa CCM.Hata hapa kwetu kwa hali ilivyo yakitokea majeshi kutoka nje kuleta chokochoko tutayaunga mkono kwa asilimia kubwa sana. Tumefikia stage ya bora tukose wote
Ni swala la muda tu tutafika huko, hakuna mtu atakua mzalendo kwa uharamia huu unaofanywa na maCCM.Hata wakija wale Alshab kutoka Msumbiji tutawapa chakula wakiwa wanachinja watendaji wa CCM.
Hatimaye nimefanikiwa kupata silaha mbili za moto, moja ndogo moja kubwa, sitazitaja majina.Wana-JF,
Mahakama ya Rufani imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita.
Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM.
Mwanasheria Mkuu wa serikali akaenda Mahakama ya Rufaa kukataa rufaa. Mahakama ya Rufaa ikatengua hukumu ya Mahakama Kuu. Kwa kiasi kikubwa maamzi ya mahakama ya Rufaa yamechangia dhuluma tuliyoshuhudia kwenye uchaguzi huu.
Kweli Mahakama ya Rufaa inawezaje kutenganishwa na uharamia huu?
Wanahistoria watakuwa na mengi sana ya kusoma na kuandika miaka mingi ijayo. Wanasheria wanalo la kujifunza pia.
Kitambulisho kipo.. 20K tuππ½
Uzuri tunaumia wote for the next 5 years hakuna cha wana CCM wala watumishi wa umma wala wafanyabiashara wala sekta binafsi. Hadi yeye Magu maana kikosi Kodi waliomuoigania watamushughulikiaHivi ruzuku Chadema watapata? Zile pesa walichangishwa mwishowe wakapigwa calendar wabunge hoi..
Ila Halima alinifurahisha ubondia ππππ na kupamda visivyo pandika alijaribu.. hapo lazima alikuwa anafikiria mengi.. ila naye alifikirije atachaguliwa kwa lipi haswaaaa!!! huku hakuna alilofanyia la kuonekana jimbo la Kawe.
Muache kulalamika.. vitambulisho kuondoa wavivu mitaani vipo.. 20K.. chapeni kazi.. mule
πππππ Magufuli...oyeeeeee...
Wakurugenzi wa nchi nzima waliitwa Dodoma, Lisu alipo hoji alipigwa ban kufanya kampeni.Ukiangalia movie nzima hapo kwenye wakurugenzi ndio bao limepigwa.
NEC wao kazi yao kuandaa uchaguzi na kusoma matokeo tu!
Nyie wenyewe chakula!tutawapa chakula
Walipokuwa wanatangaza nia na wakaenda kufanya kampeni nchi nzima, muda wote huo walijua wakurugenzi ni M4C siyo?Ukiangalia movie nzima hapo kwenye wakurugenzi ndio bao limepigwa.