Mahakama ya Rufaa ya Tanzania itakwepaje lawama hizi katika Uchaguzi wa 2020?

Kila msimamizi wa uchaguzi aliingiza kura feki kwenye masanduku ya kupigia kura...
 
Unapoona Viongozi Wa Dini, Vyombo Vyote Wanaogopa Mamlaka Kwa Kushikilia Vyeo Vyao
Jiongezeni, Court Ipi Inaweza Kusimama Na Wananchi

Tanzania Wote Wamenywea Kimya Hofu Inawasukuma Kutetea Vyeo Vyao
Hakuna Sheria Yoyote Inaweza Kuwa Nzuri Na Ikasomwa Kama Ilivyo Zaidi Ujanjaujanja
 
Acha wivu, hizo gharama za kuajiri maafisa wa tume, wanaofanya kazi Mara moja kila baada ya miaka mitano unalipa wewe? Afu hao wato utakaowaajiri wasiokuwa na upande utawapata wapi? Upinzani ulikufa baada ya kumtema Dr slaa, acheni kulialia wakurungwa!
 
Wanasheria kwa ujumla wameangusha Sana umma.

Hata sijui ni kwa sabb gani huwa wanahangaika kuteua majaji kuongoza NEC, ZEC, na hata Msajili wa vyama vya siasa.. Unaeza kufikiri kuwa wanatakiwa majaji ili watende haki, lkn kumbe ni waovu balaa
 
Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM.
Mmejifunza tabia mbaya kutoka kwa Ndugu Antipasu. Tabia hiyo ni uongo wa kujiabisha! Hivi kiroho safi unaudhibitisha ulimwengu kuwa hukumu hiyo ya Mahakama ya Rufani ilikuwa inasomeka hivyo!?
 
Tatizo ni watu.
Watu waovu, watatunga sheria mbovu, wataunda taasisi mbovu na watawatendea wengine uovu.
Tunatakiwa kujenga taifa la watu wanaoaminiana na kuheshimiana kama ndugu.
Kustaarabika ni pamoja na kuwa na watu na taasisi zinazoaminiwa na raia.
 
Majaji was Rufaa wakiongozwa na Jaji Mugasha ndio chanzo cha uharamia huu.
 
Kwenye ubongo wako umejaza kula tu kama kuku. Unafikiri kuwa kila mtu yuko driven na njaa! Watu wanaishi kwa principles siyo kwa tumbo. Wewe endelea kuweka tumbo mbele tu.
Hivi ruzuku Chadema watapata?
 
Unakubaliana nasi kuwa uharamia wa hali ya juu umefanyika. Ndio cha muhimu hicho. Ulitaka wafanye nini?
Walipokuwa wanatangaza nia na wakaenda kufanya kampeni nchi nzima, muda wote huo walijua wakurugenzi ni M4C siyo?
 
Kama hauwezi kupata haki kupitia sanduku la kura, hii ndio njia iliyobaki. Njia za kidemokrasia zimezibwa zote.
 
Hii ya watu kupigia kura nyumbani kwao na kwenye mahoteli nchi nzima na kuziingiza kwenye vituo vya kupigia kura chini ya mtutu wa bunduki, hatukuwahi kuona Tanzania. Inawezekana kweli magufuli siyo Mtanzania.
Kila msimamizi wa uchaguzi aliingiza kura feki kwenye masanduku ya kupigia kura...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…