Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

Mkuu heshima sana. Usi-tag hawa wapumbavu. Kadiri unavyo-engage na hawa wajinga ndivyo wanavyojiona ni wa maana. Watajisifia bure kuwa wameweza kuvuta hisia za mtu wa maana kama wewe. Hawa dawa yao ni kuwaweka kwenye ignore list. Wasipopata attention watajifia kifo cha mende.
 
Katika hili hamshindi. Shetani hawezi kuwa mshikdi siku zote.

Hili litawapalia nyie mashetani.
Gentleman,
as friends and families of the free court of Tanzania, hua hatushindani kisheria, bali tunahakikisha mwenye haki anapata haki yake pasina utata au shaka yoyote ile.

hayo mengine nadhani ni makasiriko nonsense ya kibinadamu tu, right?
kwangu hua ni hot air 🐒
 
Tik tik, muda unasogea tu lile suala lako la kuhukumu kwa uhakika kuwa Jamhuri itamnyonga linakaribia. Muda utasema.
Gentleman,
hiyo ni haki kabisa ya wazi kwa atakaethibitika pasina shaka yoyote kwa mujibu wa sheria, kwamba ni muhaini, atapata haki stahiki ya kunyongwa hadi kufa bila mbambamba yoyote ile 🐒
 
HUU MWELEKA WA JAMHURI KUSHINDWA KESI MAHAKAMA KUU NA MAHAKAMA YA RUFANI

Jopo zito la Jamhuri lililojumuisha wafuatao mahakama ya rufani

Photo: Nassoro Katuga lead lawyer in Tundu Lissu treason case representing Republic vs Lissu
  1. (DPP)
  2. Ms. Ajuaye B. Zegeli, learned Principal State Attorney
  3. Nassoro Katuga,
  4. Job Mrema and
  5. Ignas Mwinuka,
  6. Mr. Tulumanywa Majigo learned Principal State Attorneys,
  7. Ms. Tawabu Issa learned Principal State Attorneys, ,
  8. Mr. Cathbert Mbiting'i learned Senior State Attorneys, na
  9. Mr. Winaiwa learned Senior State Attorney
  10. Kassala, learned Senior State Attorneys,.

Huku mheshimiwa Tundu Lissu akijiwakilisha yeye mwenye mbele ya mahakama bila wakili.
 
Mazafakas wanajua hata wenyewe kwamba hawana case dhidi ya Lissu. Strategy yao ni kufanya kila aina ya ushenzi ili kurefusha muda wa mtuhumiwa kukaa ndani.
 

Kumbukumbu za Ushahidi wa anguko la Jamhuri DPP dhidi ya Tundu Lissu hatua kwa hatua ndani ya mahakama za juu ya Tanzania si tu limeonekana mbele ya wananchi bali pia na jumuiya ya kimataifa wadau wa maendeleo :

TOKA MAKTABA :
03 Julai 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=A1bC57nhFV8This is Episode 35 of the Treason Case against Tundu Lissu where the Court of Appeal has completed the hearing of the review petition filed by Jamhuri against the Chairman of the Party for Democracy and Development (CHADEMA) Tundu Lissu.

Jamhuri (Republic) filed the review petition on February 24, 2026, challenging the decision of the High Court, Dar es Salaam Sub-Registry, to reject its application to be allowed to present additional evidence in the treason case against the politician.

The review petition number 7203216/2026 was heard today, Friday, July 3, 2026, before a panel of three judges of the Court of Appeal sitting in Dar es Salaam, led by Justice Augustine Mwarija, other judges are Zainabu Muruke and Amour Khamisi

In the leaders CHADEMA cadres former Mbeya City MP Joseph Mbilinyi popularly known as Sugu and the ex-mayor of Ubungo Bonny Yai who is currently the CHADEMA Coastal Zone chairman showed up brandishing Tundu Lissu's hairstyle to support him and also a sign of resistant against injustice.
 
Sawa mkuu nimekupata, niliwatag hao wapuuzi maana kwa muda mrefu walikua wakiunga mkono kesi hii ya kumpotezea Lissu muda na ukinote huwa nawatag katika nyuzi ambazo ni muendelezo wa matukio ya muda mrefu tu.

Hivyo nimewatag tu waone ushindi dhidi ya udhalimu.
 
Common Wealth Deadline
 
Mkuu Maku, Makumbele, asante kwa habari njema hii, hii sasa ndio Mahakama ya kweli ya Rufani inayotoa haki!, ni jana tuu nimetoka kuandika makala hii Pongezi CJ Masaju: Dawa ya Kukomesha Mahakama Kudharauliwa ni Kutoa SMART-Judgement, Zenye Meno, Hukumu Isipotekelezwa, Meno ya Contempt Yana Ng'ata! na last week niliandika Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.
leo haki imeanza kutendeka huku ikionekana imetendeka.

Ili kuiepushia serikali aibu, DPP anapeleka Nolle, baada ya kesi kufutwa TL anatinga mahakani kuishitaki serikali kudai fidia ili kuiadabishe isirudie tena kufanya ujinga kama huu, kuchezea haki za watu!.
Mimi nilianza kuuzungumzia uhaini hata kabla ya hii kesi

P.
 
Niliona lakini sio kwa sababu yako, ni sababu ya Mabwanyeye wa Common Wealth
 
Yoh yoh yoooooh kwako mkata kinembe wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…