Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

Mkuu Maku, Makumbele, asante kwa habari njema hii, hii sasa ndio Mahakama ya kweli ya Rufani inayotoa haki!, ni jana tuu nimetoka kuandika makala hii Pongezi CJ Masaju: Dawa ya Kukomesha Mahakama Kudharauliwa ni Kutoa SMART-Judgement, Zenye Meno, Hukumu Isipotekelezwa, Meno ya Contempt Yana Ng'ata! na last week niliandika Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.
leo haki imeanza kutendeka huku ikionekana imetendeka.

Ili kuiepushia serikali aibu, DPP anapeleka Nolle, baada ya kesi kufutwa TL anatinga mahakani kuishitaki serikali kudai fidia ili kuiadabishe isirudie tena kufanya ujinga kama huu, kuchezea haki za watu!.
Mimi nilianza kuuzungumzia uhaini hata kabla ya hii kesi

P.
Mnafiki tu wewe.
 
In fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.

nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Tlaaahtlaah katika Moja na mbili!
 
In fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.

nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi [emoji205]
Na wewe una familia kabisaaa....., inakutegemeaa?
 
Afrika yanabishana nini sijui,kesi blah blah kila siku nenda rudi mahakamani,
Sijui ni mtindio wa ubongo au.
Mnachoma mafuta na kuunguza muda kumsikiliza huyo mwehu wa sheria. ameacha majukumu yake ya Chama kwa kupenda mwenyewe abaki huko mahabusu tu anaona raha kupewa escort na maaskari magereza kama sifa vile.
 
Mahakama zinakubalije kumsotesha mtu kwa karne hii na zama hizi???? Hivi wao wamewahi kukaa hata masaa 24Tu mahabusu?? Kwa nini waamua haki wawe mikono ya kusotesha na kutesa roho za Mungu kwa mambo ya wazi yasiyo hatia??? Yaani yanatesa wote wakamataji, walinzi, walinzi, mawakili, madereva, mahakimu na majaji, familia, jumuia na serikali za ndani na nje, wafuasi nk. MAHAKAMA ISISAJIRI KESI KAMA HIZO. KWANI KESI ZOTE LAZIMA AZIKUBALI NA KUZISAJIRI???
 
Mkuu Maku, Makumbele, asante kwa habari njema hii, hii sasa ndio Mahakama ya kweli ya Rufani inayotoa haki!, ni jana tuu nimetoka kuandika makala hii Pongezi CJ Masaju: Dawa ya Kukomesha Mahakama Kudharauliwa ni Kutoa SMART-Judgement, Zenye Meno, Hukumu Isipotekelezwa, Meno ya Contempt Yana Ng'ata! na last week niliandika Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.
leo haki imeanza kutendeka huku ikionekana imetendeka.

Ili kuiepushia serikali aibu, DPP anapeleka Nolle, baada ya kesi kufutwa TL anatinga mahakani kuishitaki serikali kudai fidia ili kuiadabishe isirudie tena kufanya ujinga kama huu, kuchezea haki za watu!.
Mimi nilianza kuuzungumzia uhaini hata kabla ya hii kesi

P.
Sawa mkuu ila usiangalie upepo
Nadhani CW inahusuka na makala zako 😁😁😁😁😁😁😁
 
Nitamshangaa sana dpp na majaji wanaosikiliza kesi ya Lissu wakikaza fuvu na kuendelea na kesi maana watazidi kuuonyesha utupu wa akili zao na mwisho watadharaulika mbele ya jamii inayowazunguka mtaaani kwao. Kifupi, hawataaminika tena mbele ya jamii.
 
Na wewe una familia kabisaaa....., inakutegemeaa?
sio familia tu gentleman,
natumikia taifa na waTanzania wengine wote ikiwa ni pamoja na wenye mihemko nonsense kama yako.

In fact,
ni mTanzania, na ndivyo ulivyo useless, itabidi nikutumikie walau upate tiba bora ya kurekebisha saikolojikali yako useless 🐒
 
Mh lissu ni jiniasi kwenye sheria binafsi hii kesi yake imenifundisha mambo mengi sana

Mh lissu ni mwamba na jabari la siasa harakati na sheria!
Apewe kesi nyingine tuendelee kutazama movie ...ya Jiniaz.
 
Back
Top Bottom