Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Usijitoe akili mkuu,maneno yako ndiyo kusudio na huakisi uhalisia wenyewe!...Huo ndio uhaini au uchochezi ?. Ni wapi Tundu Lissu alipanga kupindua serikali.
Usijitoe akili mkuu,maneno yako ndiyo kusudio na huakisi uhalisia wenyewe!...Huo ndio uhaini au uchochezi ?. Ni wapi Tundu Lissu alipanga kupindua serikali.
Gentleman,Nenda wewe kaujumuishe huo ushahidi mpya ili apatikane na hatia anyongwe kisha roho itulie.
Lissu tukubari tu katushika kalio ccm. Haina ubishi labda dishi liwe limeyumba kama lakoUsijitoe akili mkuu,maneno yako ndiyo kusudio na huakisi uhalisia wenyewe!...
Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha ushahidi mpya.
View attachment 3640052
Kiini cha Mzozo
Uamuzi wa Mahakama
- Upande wa mashtaka ulitaka kuwasilisha ushahidi wa ziada kupitia shahidi wao, ACP Amini Mahamba, ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi wa matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
- Lissu, ambaye alijitetea mwenyewe, alipinga vikali hatua hiyo.
- Alieleza kuwa Kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kinaruhusu tu upande wa mashtaka kumwita shahidi mpya ambaye ushahidi wake haukusomwa wakati wa taratibu za awali, na sio kuongeza ushahidi mpya kutoka kwa shahidi ambaye tayari alikuwa ametoa ushahidi.
- Awali, Mahakama Kuu ilikubaliana na hoja za Lissu na kufutilia mbali notisi ya upande wa mashtaka kwa kuwa na mapungufu kisheria.
Ombi la Fidia lakataliwa
- Mahakama ya Rufaa imeunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu, ikieleza kuwa Kifungu cha 308 cha CPA kimewekwa maalum kwa ajili ya kumleta shahidi ambaye ushahidi wake haukuwahi kusomwa kwa mshtakiwa.
- Majaji wamefafanua kuwa sheria haiweki masharti ya kutoa kibali cha kumwita tena shahidi aliyepo ili kutoa ushahidi mpya au wa ziada.
- Kutokana na hilo, Mahakama imeamua kuwa notisi ya upande wa mashtaka ilikuwa na makosa na hivyo kutupilia mbali maombi yote ya DPP kwa kukosa mashiko.
Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
- Wakati wa shauri hilo, Lissu aliomba kulipwa fidia kwa kutumia siku 139 akiwa rumande wakati kesi ya msingi ikiwa imesimama kupisha maombi haya, akidai yalifunguliwa kwa usumbufu ili kuchelewesha kesi.
- Mahakama imelikataa ombi hilo.
- Majaji wameeleza kuwa hawana mamlaka ya kutoa amri hiyo kwa sababu wao si mahakama ya mwanzo, na sheria inaelekeza kuwa fidia inaweza kuamriwa tu baada ya mshtakiwa kuachiwa huru moja kwa moja endapo itabainika kuwa mashtaka yalikuwa ya usumbufu.
Kwa kauli za lissu,ya kwamba uchaguzi watauzuia na ya kwamba hautafanyika,na kweli siku ya uchaguzi tulishuhudia vurugu,watu kukatwa vidole,mali za umma kuharibiwa,pamoja na kuchomwa moto!, ""hapa pasiwe na kesi nzito?,inastaajabisha sana""Lissu tukubari tu katushika kalio ccm. Haina ubishi labda dishi liwe limeyumba kama lako
Nimekuuliza hayo maneno ni uhaini au uchochezi?. Kusema nitakichafua ni uhaini au uchochezi? Mbona mnaushushia heshima uhaini?.Usijitoe akili mkuu,maneno yako ndiyo kusudio na huakisi uhalisia wenyewe!...
Kasome vizuri Sheria. Huwezi kushtakiwa kwa kosa ambalo wakati unakamatwa ulikuwa hujalitenda.Kwa kauli za lissu,ya kwamba uchaguzi watauzuia na ya kwamba hautafanyika,na kweli siku ya uchaguzi tulishuhudia vurugu,watu kukatwa vidole,mali za umma kuharibiwa,pamoja na kuchomwa moto!, ""hapa pasiwe na kesi nzito?,inastaajabisha sana""
================
Section 55 of the Penal Code (Cap. 16) – Seditious Intention
"A seditious intention is an intention to bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the lawful authority of the United Republic or its Government; to raise discontent or disaffection amongst the inhabitants of the United Republic; or to promote feelings of ill-will and hostility between different classes of the population."
Lissu Sasa atakuwa ni mchawi yupo maabusu miezi sita kabla ya uchaguzi alafu useme ndo kasababisha inahtaji uwe na utimamu zero point zero wa ubongo kuamini hizi kelele za walioshindwa kuwajibika kulinda maslai ya raiaKwa kauli za lissu,ya kwamba uchaguzi watauzuia na ya kwamba hautafanyika,na kweli siku ya uchaguzi tulishuhudia vurugu,watu kukatwa vidole,mali za umma kuharibiwa,pamoja na kuchomwa moto!, ""hapa pasiwe na kesi nzito?,inastaajabisha sana""
================
Section 55 of the Penal Code (Cap. 16) – Seditious Intention
"A seditious intention is an intention to bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the lawful authority of the United Republic or its Government; to raise discontent or disaffection amongst the inhabitants of the United Republic; or to promote feelings of ill-will and hostility between different classes of the population."
Arooo abari za mbweni?In fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.
nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Kauli ya kiongozi wa chama,huwa ni amri ya kutekelezwa!,au hufahamu hili!?......Lissu Sasa atakuwa ni mchawi yupo maabusu miezi sita kabla ya uchaguzi alafu useme ndo kasababisha inahtaji uwe na utimamu zero point zero wa ubongo kuamini hizi kelele za walioshindwa kuwajibika kulinda maslai ya raia
Neno/kauli ya mwenyekiti huwa ni amri na husubiri utekelezaji tu.(Limetekelezwa kikamilifu)Kasome vizuri Sheria. Huwezi kushtakiwa kwa kosa ambalo wakati unakamatwa ulikuwa hujalitenda.
Chief, is this comment meant to be a joke, or are you being serious? Lissu is facing major treason charges and there are serious reports concerning his safety in prison. How is calling for four lashes anything other than a joke in a situation this critical?SEREKALI HII AWAMU YA SITA NA VYOMBO VYAKE VYOTE VINA UTU WA HALI YA JUU SANA.
Endapo lissu kama ataachiwa asiache kuchapwa angalau viboko viine!,....
In fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.
nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
In fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.
nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Sodoma kaione Unguja na Pemba.Tanzania ni Taifa huru Wazungu wanajua ivyo🤠
kwetu wamependekeza mengi sio kumwachia Lissu tu 👈
Yapo na mengine walishapendekeza na Usodoma lkn tumesimama kama Taifa Huru ✍️
wafafanulie wadau wa Jf kwa kina kirefu kidogo gentleman na itapendeza zaidi 🐒Sodoma kaione Unguja na Pemba.
??????wafafanulie wadau wa Jf kwa kina kirefu kidogo gentleman na itapendeza zaidi 🐒
Nchi nzima wamamjadili Lisuu, ila wewe hata mtaani kwenu hujulikani zaidi ya korido za LumumbaGentleman,
nafikiri mahakama huru za Tanzania,
kwa wakati muafaka, itakubaliana na mtazamo wangu huo wenye mantiki ya kisheria 🐒
ndio,Nchi nzima wamamjadili Lisuu, ila wewe hata mtaani kwenu hujulikani zaidi ya korido za Lumumba