Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,198
- 11,630
Walikuwa wanasikilizia maagizo Toka juuNi habari njema kweli kweli; sasa kesi iendelee hili jambo liishe.
Lakini nao Mahakama ya Rufaa wanachukua muda mrefu usio wa lazima kuamua jambo ambalo halikuwa na utata mkubwa kisheria.