Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

Kauli ya kiongozi wa chama,huwa ni amri ya kutekelezwa!,au hufahamu hili!?......
Kwahiyo Lissu kawazidi ushawishi kiasi hiko maana miezi sita yote mlishindwa vipi kubadilisha kauli alizopanda mioyoni mwa vijana kama siasa mlikuwa mnafanya wakati akiwa maabusu?
 
MaCCM tameangukia pua. Hivi kumbe MAOMBI ya mahakamani yanaitwa PRAYER, kama vile maombi ya kanisani au msikitini? Hii lugha ilikuja na majahazi. Kwanini wasiandike kwa Kiswahili tu kuliko kuaibika kiasi hiki?
 
MiCCM ni mijitu miquma sana. Kwanini inamsumbua Lissu bila sababu za msingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…