Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

Tanzania bana
Shamba la bwana kheri, mbuzi wa Bwana Kheri!....Bwana kheri kaona ameshamalilisha azima yake basi ametoa maelekezo.
 
Mimi ni chadema tena haswaa. Lakini hili sio swala la kufurahia bali tutumie hiyo nafasi kuikomboa nchi. Kwa machale yangu ya haraka huo ni mtego tumepewa watu wajitokeze kukemea mambo wapotezwe. When the deal is too good think twice. La kufanya tupaze sauti kwanza kamanda awe huru then tuikomboe nchi coz najua akitoka kule atakuja na kasi ya kulipiza kisasi kisiasa na hapo tutakua na nguvu moja ya kufanya jambo. Acha nijikonyagitize kwanza
 
Lumumba and Nassoro Katuga are typing......
 
Wameshika dola, unadhani kuna shida tena! Uroho na uchu wa madaraka, wakaona Lissu akae ndani hata mwaka maana wanajua angekuwa kwenye ballot papers hali ingekuwa mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…