Mimi sikuwahi kumuunga mkono fisadi Lowassa kwangu atabaki kama fisadi na ile move sikuiunga mkono.Mpuuzi huyo dalali. Nilijua Mbowe ni mpuuzi fulani baada ya ujio wa Lowassa cdm. Yaani chama serious kabisa kinaokota mgombea mchaf miezi miwili kabla ya uchaguzi?!
Mandela alikaa miaka mingapi jela?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Bado kuna siku wataachia na dola.
Habari hii imfike kamanda Tundu Lissu huko aliko.
Hakuna lolote, sana mechelewesha haki.Vp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani
You have a problem called "fear of unknown". You fear something which know nothing aboutChadema inavyopenda sifa, sio siku nyingi watazuiwa tena. Maana mikutano kila mahali itavuruga nchi
hunijui ckujui na mwandiko wangu uache ulivyo na leo una bahati konyagi ya leo haijawekwa maji inichanganye. La sivyo ungepata unachokitaka kwangu. Acha ipite leo ila cku nyingne ukiona mwandiko sio mzuri pita kushoto wanyoko agisino. Jitahid kwa coment yangu ukiiona pita tu kama hujaiona plzKwa mwandiko mbovu kama huu; wewe ukiwa karibu na CHADEMA tayari hiyo ni hasara kubwa sana kwa chama hicho.
Kama ni hivyo kumbe hata wewe unakiri kwamba kuna tatizo kubwa katika nchi hii na kama hulioni hilo basi utakuwa ni machawa walewale.Chadema msijidanyanye, hukumu hio ili itambulike lazima isajiliwe kwa msajili. Kwa hivyo itachukua 2 years kusajiliwa na Msajili wa vyama vya siasa
Usisingizie "konyagi" wakati gonjwa lako la uchizi linafahamika.hunijui ckujui na mwandiko wangu uache ulivyo na leo una bahati konyagi ya leo haijawekwa maji inichanganye. La sivyo ungepata unachokitaka kwangu. Acha ipite leo ila cku nyingne ukiona mwandiko sio mzuri pita kushoto wanyoko agisino. Jitahid kwa coment yangu ukiiona pita tu kama hujaiona plz
wewe mtu hujasikia nilichokisema? Subiri na ole wako yanga tusishnde utajua hujui leo utanivujisha hiyo bange sasa. I used to know your heae has something kumbe i war wrong. Ebu pambana na hali yako sister cju brother mtu.Usisingizie "konyagi" wakati gonjwa lako la uchizi linafahamika.
Na wanaokufahamu kwa karibu wanasema uchizi huo unachagizwa na bange nyingi unazotumia hadi kukuharibu kichwa.
Huwa mara nyingi sikosei kwaibua vichaa humu JF; wewe hutakuwa wa mwanzo na ninaamini hutakuwa wa mwisho!.wewe mtu hujasikia nilichokisema? Subiri na ole wako yanga tusishnde utajua hujui leo utanivujisha hiyo bange sasa. I used to know your heae has something kumbe i war wrong. Ebu pambana na hali yako sister cju brother mtu.
bro bangi sijawahi ila konyagi hata mda huu ninayo tena kubwa. Mda mwingne jarbu kujua unayemwambia pumba zako. Jf si ya mama ya mtu eti kanunua chumvi ukagawa. Am whom i am. Mara moja moja kuwa mtu mzima na hautapungukiwa chochote. Jifunze hata kuazima ustarabu hata kwa mdogo wako basiHuwa mara nyingi sikosei kwaibua vichaa humu JF; wewe hutakuwa wa mwanzo na ninaamini hutakuwa wa mwisho!.