Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

Hahahaaa!

Kwa Kiswahili safi, Supreme Court ni nini?

Mahakama ya juu au mahakama ya upeo?
 
Mkuu,

Mabenki yanafanya biashara. Tumeona jinsi mabenki yalivyotoa mikopo ya NINJA kutoa mikopo kwa watu wasio na kazi wala kipato kununua majumba makubwa mpaka tukapata mortgage crisis.

Ikiwa ku inflate value ya real estate yako kwenye application ya mkopo ni kosa, kosa hili libafanyika unapo apply mkopo, bila kujali mkopo utaulipa au hutaulipa. Bila kujali kama benki imekubaki au haijakubali kukupa mkopo.
 
na hapa kwetu tukipata mtu kama magufuli ivi tena aaah mambo safi kabisa
 
Ingekuwa Afrika hii kesi ingeendeshwa kihuni kabisa ili kuhakikisha mgombea huyu hashiriki uchaguzi
 
Huku Tz mahakama haina nguvu mbele ya muhimili mkuu uliojichimbia chini sana.

Pascal Mayalla
 
na hapa kwetu tukipata mtu kama magufuli ivi tena aaah mambo safi kabisa
Kumpata mtu kama magufuli inawezakana ila tatizo ni regime iliyopo haiwezi kumsimamisha sababu Magufuli alitetea wanyonge na system ambayo Ipo inatetea wenye uwezo ,bila kusahau kwamba Magu alichaguliwa kuwa candidate kwa kudura za aliye juu.Tuombe ili aliye juu kwa kudura zake atuletee kiongozi mwenye usubutu kama jpm .
 
Wewe g@y una vita na kila idara ya serial. No wonder u are proud of your LGBTQ behavior
 
Tanzania bado ilimhitaji JPM kuwanyoosha wahuni
 
Naona uwezekano wa Trump kurudi White House kwa sababu kusema ukweli Biden amechoka sana. Ni bora tu angepumzika apishe Democratic mwingine apambane na Trump.
Japo urais ni taasisi hasa Marekani, ukweli Biden amechoka mnoo.

Akipita muhula wa pili kuna siku ataiaibisha US jukwaani kwa hali yake ya uzee.

Sioni tatizo angepumzika kuwapisha wenye nguvu wengine wa chama chake
 
Tanzania hakuna jaji wala hakimu wala mwanasheria kuna toilet paper za kuchambia za ccm tu
 
Japo uraia ni taasisi hasa Marekani, ukweli Biden amechoka mnoo.

Akipita muhula wa pili kuna siku ataiaibisha US jukwaani kwa hali yake ya uzee.

Sioni tatizo angepumzika kuwapisha wenye nguvu wengine wa chama chake
Mpaka sasa hakuna mbadala wa kupambana na trump zaidi ya Biden. Democrats hawana candidate mzuri wa kuruka na trump ndio maana Biden ataendelea kugombea tena.

Mi nataka Biden ashinde trump miyeyusho.
 
Mpaka sasa hakuna mbadala wa kupambana na trump zaidi ya Biden. Democrats hawana candidate mzuri wa kuruka na trump ndio maana Biden ataendelea kugombea tena.

Mi nataka Biden ashinde trump miyeyusho.
Kwa trend hii Trumph hana mpinzani
 
Hahahahaaaa 🤣🤣.

Lawfare imebuma.

Walijaribu kila njia, lakini hakuna iliyofanikiwa.

Sipendi kabisa uonevu.
 
Mpaka sasa hakuna mbadala wa kupambana na trump zaidi ya Biden. Democrats hawana candidate mzuri wa kuruka na trump ndio maana Biden ataendelea kugombea tena.

Mi nataka Biden ashinde trump miyeyusho.
Biden hawezi kugombea, mkuu. Ngoja utaona ifikapo Septemba Kamala Harris ataanza kuchuana na Trump, lakini Trump atamgaragaza asubuhi na mapema.

Mark my words! Muda wenyewe utaongea ifikapo Novemba 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…