Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

Ukija Tanganyika, JAJI anapigiwa simu moja tu na Afisa Tarafa, anajinyea nyea na kuvuruga hukumu nzima kwa hofu.

Tanganyika mahakama haina upeo wowote. Mahakama ni kitalu cha majizi na makanjanja kutamba na kutoa maelekezo jinsi yapendavyo.

Hilo jina la "upeo" limekaa kitaalamu sana. Ati Mahakama ya Upeo!!! 🤗🤗🤗

Tanganyika tutoe wapi upeo sisi manyumbu! Upeo ni mamtoni bana!

Huku kuna mahakama za makanjanja na sio mahakama za upeo!

Cc: Lamomy
Hahahaaa!

Kwa Kiswahili safi, Supreme Court ni nini?

Mahakama ya juu au mahakama ya upeo?
 
Hakuna fraud hapo maana mabenki yana utaratibu wake. Yanafanya due diligence.

Benki haiwezi tu kukupa mkopo bila kujiridhisha.

Mikopo alipewa na akailipa.

Shida iko wapi hapo?

Hiyo kesi itatupiliwa mbali kwenye rufaa.

Mimi naenda benki kuomba mkopo. Nasema kipato changu hiki, mali zangu zina thamani hizi, nk.

Benki wanaomba ushahidi wa kipato changu. Wanaleta watu wao kuthaminisha mali zangu.

Wanajiridhisha, wananipa mkopo.

Mkopo naulipa wote.

Hakuna kabisa kosa hapo.

Hata benki iliyonipa mkopo inasema itafanya tena kazi na mimi.

Wewe unanifungulia mashitaka. Hiyo ni lawfare.

After all, Letitia James promised to get Trump when she was running for AG for NY.

No harm, no foul. It will be reversed on appeal.
Mkuu,

Mabenki yanafanya biashara. Tumeona jinsi mabenki yalivyotoa mikopo ya NINJA kutoa mikopo kwa watu wasio na kazi wala kipato kununua majumba makubwa mpaka tukapata mortgage crisis.

Ikiwa ku inflate value ya real estate yako kwenye application ya mkopo ni kosa, kosa hili libafanyika unapo apply mkopo, bila kujali mkopo utaulipa au hutaulipa. Bila kujali kama benki imekubaki au haijakubali kukupa mkopo.
 
na hapa kwetu tukipata mtu kama magufuli ivi tena aaah mambo safi kabisa
 
He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021.

On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!"

Trump is the frontrunner for the Republican nomination to challenge Democratic President Joe Biden in November's US election.

His only remaining rival for his party's nomination is former South Carolina governor, Nikki Haley.

Source: Donald Trump restored to Colorado ballot after Supreme Court rejects he was accountable for Capitol riots
Ingekuwa Afrika hii kesi ingeendeshwa kihuni kabisa ili kuhakikisha mgombea huyu hashiriki uchaguzi
 
Ninaposoma taarifa kama hizi waga najiuliza, hivi majaji wa kitanzania pia wanasoma na kusikia hizi habari.❓❓

Je katika nchi kama Tanzania pia mpinzani mwenye nguvu anaweza kweli akashinda kesi kama hiyo na akaruhusiwa kweli kugombea urais dhidi ya chama dhalimu kama ccm ❓❓

Sisi bado sana kwa kila kitu, sio mahakama, sio bunge na wala sio serikali na ninachoweza kusema tu ni kwamba ngoja tuendelee kukimbizana na mwenge kwa sababu ndilo tukio pekee tunalolifanya ambalo hakuna nchi yoyote duniani inafanya.
Huku Tz mahakama haina nguvu mbele ya muhimili mkuu uliojichimbia chini sana.

Pascal Mayalla
 
na hapa kwetu tukipata mtu kama magufuli ivi tena aaah mambo safi kabisa
Kumpata mtu kama magufuli inawezakana ila tatizo ni regime iliyopo haiwezi kumsimamisha sababu Magufuli alitetea wanyonge na system ambayo Ipo inatetea wenye uwezo ,bila kusahau kwamba Magu alichaguliwa kuwa candidate kwa kudura za aliye juu.Tuombe ili aliye juu kwa kudura zake atuletee kiongozi mwenye usubutu kama jpm .
 
Ukija Tanganyika, JAJI anapigiwa simu moja tu na Afisa Tarafa, anajinyea nyea na kuvuruga hukumu nzima kwa hofu.

Tanganyika mahakama haina upeo wowote. Mahakama ni kitalu cha majizi na makanjanja kutamba na kutoa maelekezo jinsi yapendavyo.

Hilo jina la "upeo" limekaa kitaalamu sana. Ati Mahakama ya Upeo!!! 🤗🤗🤗

Tanganyika tutoe wapi upeo sisi manyumbu! Upeo ni mamtoni bana!

Huku kuna mahakama za makanjanja na sio mahakama za upeo!

Cc: Lamomy
Wewe g@y una vita na kila idara ya serial. No wonder u are proud of your LGBTQ behavior
 
Kumpata mtu kama magufuli inawezakana ila tatizo ni regime iliyopo haiwezi kumsimamisha sababu Magufuli alitetea wanyonge na system ambayo Ipo inatetea wenye uwezo ,bila kusahau kwamba Magu alichaguliwa kuwa candidate kwa kudura za aliye juu.Tuombe ili aliye juu kwa kudura zake atuletee kiongozi mwenye usubutu kama jpm .
Tanzania bado ilimhitaji JPM kuwanyoosha wahuni
 
Naona uwezekano wa Trump kurudi White House kwa sababu kusema ukweli Biden amechoka sana. Ni bora tu angepumzika apishe Democratic mwingine apambane na Trump.
Japo urais ni taasisi hasa Marekani, ukweli Biden amechoka mnoo.

Akipita muhula wa pili kuna siku ataiaibisha US jukwaani kwa hali yake ya uzee.

Sioni tatizo angepumzika kuwapisha wenye nguvu wengine wa chama chake
 
Ninaposoma taarifa kama hizi waga najiuliza, hivi majaji wa kitanzania pia wanasoma na kusikia hizi habari.[emoji780][emoji780]

Je katika nchi kama Tanzania pia mpinzani mwenye nguvu anaweza kweli akashinda kesi kama hiyo na akaruhusiwa kweli kugombea urais dhidi ya chama dhalimu kama ccm [emoji780][emoji780]

Sisi bado sana kwa kila kitu, sio mahakama, sio bunge na wala sio serikali na ninachoweza kusema tu ni kwamba ngoja tuendelee kukimbizana na mwenge kwa sababu ndilo tukio pekee tunalolifanya ambalo hakuna nchi yoyote duniani inafanya.
Tanzania hakuna jaji wala hakimu wala mwanasheria kuna toilet paper za kuchambia za ccm tu
 
Japo uraia ni taasisi hasa Marekani, ukweli Biden amechoka mnoo.

Akipita muhula wa pili kuna siku ataiaibisha US jukwaani kwa hali yake ya uzee.

Sioni tatizo angepumzika kuwapisha wenye nguvu wengine wa chama chake
Mpaka sasa hakuna mbadala wa kupambana na trump zaidi ya Biden. Democrats hawana candidate mzuri wa kuruka na trump ndio maana Biden ataendelea kugombea tena.

Mi nataka Biden ashinde trump miyeyusho.
 
Mpaka sasa hakuna mbadala wa kupambana na trump zaidi ya Biden. Democrats hawana candidate mzuri wa kuruka na trump ndio maana Biden ataendelea kugombea tena.

Mi nataka Biden ashinde trump miyeyusho.
Kwa trend hii Trumph hana mpinzani
 
Hahahahaaaa 🤣🤣.

Lawfare imebuma.

Walijaribu kila njia, lakini hakuna iliyofanikiwa.

Sipendi kabisa uonevu.
 
Mpaka sasa hakuna mbadala wa kupambana na trump zaidi ya Biden. Democrats hawana candidate mzuri wa kuruka na trump ndio maana Biden ataendelea kugombea tena.

Mi nataka Biden ashinde trump miyeyusho.
Biden hawezi kugombea, mkuu. Ngoja utaona ifikapo Septemba Kamala Harris ataanza kuchuana na Trump, lakini Trump atamgaragaza asubuhi na mapema.

Mark my words! Muda wenyewe utaongea ifikapo Novemba 6.
 
Back
Top Bottom