Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Hahahaaa!Ukija Tanganyika, JAJI anapigiwa simu moja tu na Afisa Tarafa, anajinyea nyea na kuvuruga hukumu nzima kwa hofu.
Tanganyika mahakama haina upeo wowote. Mahakama ni kitalu cha majizi na makanjanja kutamba na kutoa maelekezo jinsi yapendavyo.
Hilo jina la "upeo" limekaa kitaalamu sana. Ati Mahakama ya Upeo!!! 🤗🤗🤗
Tanganyika tutoe wapi upeo sisi manyumbu! Upeo ni mamtoni bana!
Huku kuna mahakama za makanjanja na sio mahakama za upeo!
Cc: Lamomy
Kwa Kiswahili safi, Supreme Court ni nini?
Mahakama ya juu au mahakama ya upeo?