G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Af unakuta ni shababi anaebweka ofisini kila kukicha 😂La mwamba kavuliwa kanzu... Hivi Mahakana haina kipengele Cha usiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Af unakuta ni shababi anaebweka ofisini kila kukicha 😂La mwamba kavuliwa kanzu... Hivi Mahakana haina kipengele Cha usiri
Maan huku ni kudhalilishana..La mwamba kavuliwa kanzu... Hivi Mahakana haina kipengele Cha usiri
Af kuna mpuuzi anakwambia sex sio lazima ndoa ni majukumu ,😂Relationships are about sex period.
Wewe ungevumilia hadi kifo?Aisee! Inasikitisha japo huyo mwanamke alipaswa kufanya hayo maamuzi mapema kabisa kama hakujiona ni mwenye kuweza kumvumilia jamaa.
Mbona mna maneno magumu utafikiri mtaishi daima hapa duniani 😳🙏🏽 AiseeMpumbavu mama yako aliyekuzaa chooni katikati. Nilitaka tu kujua hizo habari za masista umezipata wapi utupe ushahidi. Unaombwa ushahid unaanza kutukana. Bora baba yako angepiga punyeto kuliko kukuzaa wewe kafiri😂
Andikeni hiyo hukumu kiswahili tusiojua kingereza na sisi tuambulie chochoteLa mwamba kavuliwa kanzu... Hivi Mahakana haina kipengele Cha usiri
Unakataa ndoa wakati kuna shida huko..Kataaaaaa ndoaaaaa
Kikawaida kiongozi mfunga ndoa anatakiwa kwanza ahoji mwanamke wewe ni mwanamke mwenye maumbile ya kike ?Ifikie hatua kwa wale wenye imani thabiti ya kutofanya ngono kabla ya ndoa basi waweze kwenda kupima hospitali kama yaliyomo yamo kama wanavyopima HIV tu.
Hapana aisee mtani. 😎Wewe ungevumilia hadi kifo?
Ukose hogo maisha yako yote ningekushangaaHapana aisee mtani. 😎
Hii aibu sana na huyu anasambaza, kweny udaku itafika piaLa mwamba kavuliwa kanzu... Hivi Mahakana haina kipengele Cha usiri
Hahahaa. Lol.Ukose hogo maisha yako yote ningekushangaa
Kupima magonjwa na mambo ya uzaziIfikie hatua kwa wale wenye imani thabiti ya kutofanya ngono kabla ya ndoa basi waweze kwenda kupima hospitali kama yaliyomo yamo kama wanavyopima HIV tu.
🏃🏃Hahahaa. Lol.
🏃♀️🏃♀️🏃♀️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwambaa mtani nawee unapendaa mzagamuo?Aisee! Inasikitisha japo huyo mwanamke alipaswa kufanya hayo maamuzi mapema kabisa kama hakujiona ni mwenye kuweza kumvumilia jamaa.
hapakua na ndoa hapo, labda yalikua maigizo au biashara ya ndoa 🐒Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.
Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.
NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA
Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano