kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Wakati wa uchumba hakuona hilo? Au mashine ilizimika baada ya ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama inaamua kesi kwa mujibu wa sheria na ushahidi yaani evidence,kila mtu anasikilizwa kwa misingi ya natural justice. Pretex haiwezi kuiongoza mahakama kutoa hukumu.Hata kitendo cha kukojoa nje kinaweza kuvunja ndoa.Coitus interruptus kinaweza kutafsiriwa kama ukatili ikiwa wahusika hawakukubaliana.So kwa miaka 5 alikua anamridhishaje mkewe? Mm siamini huo upuuzi! Kuna kitu hapo. Au mwanamke aliangalia mali na kumvumilia jamaa ili aje achukue mali?
Wanaume mmeona hawa viumbe walivyokaa kitapeli?
Sahihi kabisa ,a true definition of impotenceKwamba jamaa ni hanithi!?
Noma sanaaaaa hii kwa hao jamaa, pointi 3 za bure wanachukua! 😄Team kataa ndoa inazidi kupata ushindi. Ndoa ni jambo la kheri.
Kwenda mahakamani ni muhimu hata kama hakuna mali.Hili suala lao mbona jepesi.Huyo mama akisubiri sana bila sababu.
Kikristu - Roman Catholic - siku ndoa ikifungwa lazima wahusika wakutane kimwili labda kwa sababu ambazo wao watakubaliana, mmoja akimnyima mwenzake ndoa haijakamilika na hakuna ndoa hapo.
Hapo hata haja ya kwenda mahakamani haikuwepo LABDA kama kuna issue ya mali, au jamaa alikua mbishi..mahakamani mtu kaaibishwa tu aisee
Ndoa ingeweza kuvumiliwa lakini mwanaume asingevumilia kuishi bila kupata mtoto angeenda kuzaa nje ya ndoa.Dheheby gani walifungia Ndoa? Sijaona mahali mwanamke amethiditisha miaka mitano. Hata hivyo ingekuwa jamaa anapiga miti vizuri na mwanamke Hana uwezo wa kuzaa Ndoa ingevumiliwa.
Sasa mbona mwamba kaaibishwa asee hii dunia ni ngumu sanaMahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.
Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.
NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA
Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
Sio kweli, wasio na nguvu za kiume ni wachache mno.Ukosefu wa nguvu za kiume ni janga la Kitaifa
Kuna tofauti ya kutokuzaa na kupeleka moto! Mshikaji hapeleki moto kabisa, kumbuka kuna wanaopeleka moto ila mbegu hazizalishi....Hapo ingekuwa mwanaume ndio kamuacha mke kwasababu hazai ingekuwa story nyingine hiyo
Hizo nyaraka/ judgement zipo kwenye public domainMtoa post moderator muwe mnaficha majina ya hayo wa husika , Sio sawa kbsa privacy za watu kuw waz
Kanisa lina Mahakama ?Kwenda mahakamani ni muhimu hata kama hakuna mali.
Ndoa za kikatoliki hubatilishwa na mahakama ya kanisa lakini lazima iende mahakama ya serikali ili wapate kibali cha kuwa huru ili waweze kuoa/kuolewa tena.
Inawezekaa kesi ndo imechukua miaka hiyo ila ndoa ilivunjika siku hiyo hiyo au mwezi mmoja baadae...Ndoa imefungwa mwaka june 2019 na ndoa hiyo imevunjwa na mahakama April 2024.
Piga hesabu mwenyewe utajua ndoa ilikuwa hai kwa miaka mingapi
Wakati wa uchumba hakuona hilo? Au mashine ilizimika baada ya ndoa?
Kuna jambo halija wekwa wazi 5year's..