Uuslamu unatambua kama mahakama ya kadhi na hata serikali inajua kuna mahakama ya kazi kwa minajili ya kutatua hasa masuala ya ndoa,talaka na mirathi kuhusiana na uislam.Hakuna kanisa wala mskiti wenye mahakama hayo ni mabaraza tu.
Wewe ulishapiga wangapi kisirisiri?Wanapigwa sana miti hao ila kisirisiri sana.
Hakuna sehemu nimekosea uandishi, soma tena vizur.Tatizo hupo makini na uandishi. Neno hana umeandika ana. H katika andishi linaweza kubadili maana ya andishi
Nani hayupo makini kati yangu na weweTatizo hupo makini na uandishi. Neno hana umeandika ana. H katika andishi linaweza kubadili maana ya andishi
Lakini pia kwa catholics,lengo la ndoa pamoja na starehe lengo lingine ni kuzaliana,ikithibitika mmoja wa wana ndoa alidanganya hali yake ya afya ya uzazi kabla ya ndoa,hiyo ndoa kikanisa inabatilishwaHili suala lao mbona jepesi.Huyo mama akisubiri sana bila sababu.
Kikristu - Roman Catholic - siku ndoa ikifungwa lazima wahusika wakutane kimwili labda kwa sababu ambazo wao watakubaliana, mmoja akimnyima mwenzake ndoa haijakamilika na hakuna ndoa hapo.
Hapo hata haja ya kwenda mahakamani haikuwepo LABDA kama kuna issue ya mali, au jamaa alikua mbishi..mahakamani mtu kaaibishwa tu aisee
Unapenda sana ubishi, umehamia point nyingine, kama nimesema "wote" bac nimekosea, nilimaanisha "most of them, not all of them"Joyboy una uhakika umewascreen wote?
Ndio hasara za kufuata kanuni za dini, dini ni makampuni tu ya watu, fuata tu dhamira yako kuhusu uwepo wa Mungu.Soma nakala ya hukumu utaona majibu ya swali lako.
Kwa ufupi hawakufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa. Walifata kanuni za kidini
Umeonge vema. Kikatoliki ndoa ni tendo la ndoa; bila tendo la ndoa hakuna ndoa. Siku ya ndoa pale kanisani kinachofanyika ni kupata baraka ya ndoa baada ya hapo siku hiyo hiyo ni LAZIMA maharusi wafanye tendo la ndoa ndio ndoa inakuwa imekamilika. Lengo la ndoa ni tendo la ndoa. Kupata watoto ni majaliwa ya Mungu.Hili suala lao mbona jepesi.Huyo mama akisubiri sana bila sababu.
Kikristu - Roman Catholic - siku ndoa ikifungwa lazima wahusika wakutane kimwili labda kwa sababu ambazo wao watakubaliana, mmoja akimnyima mwenzake ndoa haijakamilika na hakuna ndoa hapo.
Hapo hata haja ya kwenda mahakamani haikuwepo LABDA kama kuna issue ya mali, au jamaa alikua mbishi..mahakamani mtu kaaibishwa tu aisee
Uuslamu unatambua kama mahakama ya kadhi na hata serikali inajua kuna mahakama ya kazi kwa minajili ya kutatua hasa masuala ya ndoa,talaka na mirathi kuhusiana na uislam.
Kuwapiga miti hapana ila sister mwenye mtoto namfahamu.....Ulishawahi kushiriki au ni hearsay
Na bado ni sister anakaa Mavazi ya kisista?Kuwapiga miti hapana ila sister mwenye mtoto namfahamu.....
sasa wewe wataka kumuhukumu?Na bado ni sister anakaa Mavazi ya kisista?
Sheria yetu ya Tanzania, kesi za ndoa zinasikilizwa katika public court hata asiyehusika anaweza kwenda kusikiliza. Na hukumu inakuwa wazi.La mwamba kavuliwa kanzu... Hivi Mahakana haina kipengele Cha usiri
Mahakama ya kadhi hapa nchini haitambuliki kisheria na haipo isipokuwa Zanzibar tuUuslamu unatambua kama mahakama ya kadhi na hata serikali inajua kuna mahakama ya kazi kwa minajili ya kutatua hasa masuala ya ndoa,talaka na mirathi kuhusiana na uislam.
Huyo jamaa alikuwa upinde nn!?Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.
Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kufanya tendo la ndoa ili kupokea mbegu za kiume za kumfanya abebe mimba azae
NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA
Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano