Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

Hakuna kanisa wala mskiti wenye mahakama hayo ni mabaraza tu.
Uuslamu unatambua kama mahakama ya kadhi na hata serikali inajua kuna mahakama ya kazi kwa minajili ya kutatua hasa masuala ya ndoa,talaka na mirathi kuhusiana na uislam.
 
Tatizo hupo makini na uandishi. Neno hana umeandika ana. H katika andishi linaweza kubadili maana ya andishi
Nani hayupo makini kati yangu na wewe
Screen Shot 2024-04-18 at 16.04.09.png
 
Hili suala lao mbona jepesi.Huyo mama akisubiri sana bila sababu.
Kikristu - Roman Catholic - siku ndoa ikifungwa lazima wahusika wakutane kimwili labda kwa sababu ambazo wao watakubaliana, mmoja akimnyima mwenzake ndoa haijakamilika na hakuna ndoa hapo.
Hapo hata haja ya kwenda mahakamani haikuwepo LABDA kama kuna issue ya mali, au jamaa alikua mbishi..mahakamani mtu kaaibishwa tu aisee
Lakini pia kwa catholics,lengo la ndoa pamoja na starehe lengo lingine ni kuzaliana,ikithibitika mmoja wa wana ndoa alidanganya hali yake ya afya ya uzazi kabla ya ndoa,hiyo ndoa kikanisa inabatilishwa
 
Hili suala lao mbona jepesi.Huyo mama akisubiri sana bila sababu.
Kikristu - Roman Catholic - siku ndoa ikifungwa lazima wahusika wakutane kimwili labda kwa sababu ambazo wao watakubaliana, mmoja akimnyima mwenzake ndoa haijakamilika na hakuna ndoa hapo.
Hapo hata haja ya kwenda mahakamani haikuwepo LABDA kama kuna issue ya mali, au jamaa alikua mbishi..mahakamani mtu kaaibishwa tu aisee
Umeonge vema. Kikatoliki ndoa ni tendo la ndoa; bila tendo la ndoa hakuna ndoa. Siku ya ndoa pale kanisani kinachofanyika ni kupata baraka ya ndoa baada ya hapo siku hiyo hiyo ni LAZIMA maharusi wafanye tendo la ndoa ndio ndoa inakuwa imekamilika. Lengo la ndoa ni tendo la ndoa. Kupata watoto ni majaliwa ya Mungu.
Hawa walikuwa wanajuana wenyewe. Maana wangeweza kufuta ndoa wiki hiyo hiyo kwa kufuata sheria za Kanisa Katoliki.
 
Uuslamu unatambua kama mahakama ya kadhi na hata serikali inajua kuna mahakama ya kazi kwa minajili ya kutatua hasa masuala ya ndoa,talaka na mirathi kuhusiana na uislam.

Mahakama ya kadhi haitambuliki Tanzania.

Sheria ya Tanzania inatambua bakwata kama baraza kuu la waislamu ambalo linashughulikia migogoro ya ndoa. Likishindwa kuitatua linawapeleka mahakama za kawaida hao ndio wanavunja ndoa kisheria
 
Kwahiyo jamaa alikua anaiangalia tu bila kuibariki wa miaka 5??[emoji23][emoji23]dunia ina mambo
 
La mwamba kavuliwa kanzu... Hivi Mahakana haina kipengele Cha usiri
Sheria yetu ya Tanzania, kesi za ndoa zinasikilizwa katika public court hata asiyehusika anaweza kwenda kusikiliza. Na hukumu inakuwa wazi.
 
Uuslamu unatambua kama mahakama ya kadhi na hata serikali inajua kuna mahakama ya kazi kwa minajili ya kutatua hasa masuala ya ndoa,talaka na mirathi kuhusiana na uislam.
Mahakama ya kadhi hapa nchini haitambuliki kisheria na haipo isipokuwa Zanzibar tu
 
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kufanya tendo la ndoa ili kupokea mbegu za kiume za kumfanya abebe mimba azae

NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA

Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
Huyo jamaa alikuwa upinde nn!?
 
Back
Top Bottom