Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

Dheheby gani walifungia Ndoa? Sijaona mahali mwanamke amethiditisha miaka mitano. Hata hivyo ingekuwa jamaa anapiga miti vizuri na mwanamke Hana uwezo wa kuzaa Ndoa ingevumiliwa.
 
Ifikie hatua kwa wale wenye imani thabiti ya kutofanya ngono kabla ya ndoa basi waweze kwenda kupima hospitali kama yaliyomo yamo kama wanavyopima HIV tu.
 
Aisee! Inasikitisha japo huyo mwanamke alipaswa kufanya hayo maamuzi mapema kabisa kama hakujiona ni mwenye kuweza kumvumilia jamaa.
 
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.

NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA

Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
Sawa kwani Ndoa ni lazima? Si inategemeana na mtu na mtu au?
 
Mungu ni mkubwa atampa watoto huyo mwanamke
 
Dheheby gani walifungia Ndoa? Sijaona mahali mwanamke amethiditisha miaka mitano. Hata hivyo ingekuwa jamaa anapiga miti vizuri na mwanamke Hana uwezo wa kuzaa Ndoa ingevumiliwa.

Ndoa imefungwa mwaka june 2019 na ndoa hiyo imevunjwa na mahakama April 2024.

Piga hesabu mwenyewe utajua ndoa ilikuwa hai kwa miaka mingapi
 
Leo ni Alhamis, na sasa ni saa kasoro, kafanye kazi pumbavu sio kuuliza video za Ngono, kama huna ajira nenda Kinondoni Manyanya kwenye vijiwe vya ubishani wa mpira.
Mpumbavu mama yako aliyekuzaa chooni katikati. Nilitaka tu kujua hizo habari za masista umezipata wapi utupe ushahidi. Unaombwa ushahid unaanza kutukana. Bora baba yako angepiga punyeto kuliko kukuzaa wewe kafiri😂
 
Sema imekua fedheha sana kwa jamaa, ingelikua mimi tungemalizana wawili tu, au labda jamaa alitaka kujaribu matibabu tena na tena, au suala la mali kugawana ndo limepelekea kufika hadi mahakamani!... ila jamaa anakosa UTAMU nambari wani kabisa hapa duniani, ni fedheha kubwa kupita zote kushindwa kumpga miti mwanamke unaeishi nae kama mke!
 
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.

NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA

Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
Huyo mwamba ana kipaji lakini kutoa excuse miaka 5 na mtu unalala nae kitanda kimoja sio kitu chepesi acha mtoto wa watu aikatae ndoa tu.😁
 
Back
Top Bottom