Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Huyu anastahili kukutwa na hili... Amekashifu sana wenzie...
Mbwembwe zake zilimsababishia kufukuzwa shule pale Ifunda Tech ambako aliingia kwa jina OBEID MLAGA
 
Ina maana BASHITE ndiyo hagusiki kabisa au hakuna wa kumshitaki?
 

Kuhusu BASHITE ni suala la muda tu kwani siku moja atakuja sema BEN SAANANE na wengine walipotea vipi na nani walihusika na nani walihusika kummiminia risasi Lissu!! Sio leo wala kesho lakini iko siku BASHITE atasimama mbele ya PILATO!
 
Kabla sponsor wa matendo ya kihalifu na kuchafua watu majina hajafa.Bwana Chato rest in hell!
Your browser is not able to display this video.
 
Kuhusu BASHITE ni suala la muda tu kwani siku moja atakuja sema BEN SAANANE na wengine walipotea vipi na nani walihusika na nani walihusika kummiminia risasi Lissu!!
Hivi yupo wapi yule jamaa kwa sasa?
 
Hiyo tuzo kutoka kwa MAMA MBOGA ni ya nini na lini?
 
Hivi yupo wapi yule jamaa kwa sasa?

Anafanya kazi na WAARABU wake hapa bandari ya Salama! Wale aliotaka kuwaingizia container iliyokuwa na trekta bila kulipa kodi MPANGO akampiga pini!!
 
Hayo ni maneno ya mtaani kaka!!!membe akiamua kumkomoa anamfunga jela, kama mfungwa wa madai, kwa kumgharamikia gharama zote akiwa jela.
Na yule dingi alivyo mjeuri atafanya hivyo, kwa back up ya Msoga, Kinana, Mzee Makamba na wote walioumizwa na lile tahira
 
Nimeipenda HIPC
 
Natumai sasa tutaanza kutoa cheti cha Highly Indebted Poor Person (HIPC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…