Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Hivi ukizijumlisha na zile za Shangazi wa Taifa Bi Fatma Karume zinakuwa ngapi?
Bilion 13.8
IMG-20211028-WA0018.jpg
 
Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, ndugu

28AD5E6F-4937-462D-A944-355BDB6BD41E.jpeg
 
Anaweza kukubali kulipa 5000 tsh kila mwezi kwa miaka yote atakayoishi duniani.
 
Kwa hiyo huyu mwamba kwa sasa ana madeni yapatayo 13bilion! Manake kule kuna shangazi Fatuma alipata tuzo ya 7b na huku Membe 6b. Nadhani sasa Musiba ni raia anayedaiwa madeni makubwa kuliko raia yeyote hapa nchini na anastahili sifa ya Highly Indebted Poor Person (HIPC).
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba highly indebted poor person.
 
Kwa hiyo huyu mwamba kwa sasa ana madeni yapatayo 13bilion! Manake kule kuna shangazi Fatuma alipata tuzo ya 7b na huku Membe 6b. Nadhani sasa Musiba ni raia anayedaiwa madeni makubwa kuliko raia yeyote hapa nchini na anastahili sifa ya Highly Indebted Poor Person (HIPC).
Kama sikosei anadaiwa pia na Tibaijuka 80m.
 
Na alivyofulia huyu fala anahela hata ya kuweka mawakili ili wakate rufaa?
 
Back
Top Bottom