Mahakama imetenda haki eti ee?Apewe kazi ya u house boy kwa Membe
Mhariri wake ni member hapa jf hivyo atafungua uzi kikanusha yaliyompata bosi wakeKwani bado lipo?
Hao wate ni CCMMahakama imetenda haki eti ee?
MjingaMusiba ni kichwa hao wanafurahisha genge tu...hawapati hata sh kumi yake na jela hakai... jifunzeni sheria bavicha msipende sna kuwkea nguvu kwenye povu
Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya
Wale wazee wa kule Mbweni watamlipiaMahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili
Mwananchi